Kiini cha atomu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Atomi lithi.jpg|thumbnail|Muundo wa atomi kwa mfano wa lithi: Mzingo wa Elektroni na Kiini cha atomi atikakatika kitovu chake. Kiini inafanywakinafanywa na nyutroni (bila chaji) na protoni (chaji chanya).]]
'''Kiini cha atomi''' (pia nyukliasi ya atomi; kwa [[ing.Kiingereza]] ''atomic nucleus'') ni sehemu ya ndani ya [[atomi]] inayozungukwa na [[mzingo elektroni]].
 
[[Kiini]] kinajengwakinaundwa kwana [[protoni]] na [[nyutroni]]<ref>isipokuwa katika atomi ya [[hidrojeni]] ambayo ni atomi ndogo kabisa, ina protoni 1 pekee katika kiini</ref> na hizi kwa pamoja huitwa "nyukleoni" <ref>kutoka [[lat.]] nucleus = kiini, yaani chembe za kiini</ref>.
 
Kiini chenyewe kina karibu [[masi]] karibu yote ya atomi ndani yake (mnamo 99.9%, [[elektroni]] kwenye mzingo huwa na masi ndogo mno).
 
[[Kipenyo]] cha kiini kipo kati ya [[femtomita]] 1.75 kwa [[hidrojeni]] (sawa na kipenyo cha nyutroni moja)<ref name=Nature>
{{cite journal
|author=Brumfiel, Geoff
Line 12 ⟶ 13:
|journal=Nature
|doi=10.1038/news.2010.337
}}</ref> hadi fentomita 15 kwa atomi nzito kama vile [[urani]]. Atomi yenyewe, yaani kiini pamoja na mizingo elektroni, ni kubwa zaidi mara 23,000 (urani) hadi 145,000 (hidrojeni).{{citation needed|date=August 2013}}
 
==Ugunduzi==
Kuwepo kwa kiini ndani ya atomi kulitambuliwa mwaka [[1911]] na [[Ernest Rutherford]] aliyefanya majaribio ya kufyatulia [[mnururisho wa alfa]] dhidi ya bati nyembamba ya [[dhahabu]].
Kuwepo kwa kiini ndani ya atomi kulitambuliwa mwaka 1911 na [[Ernest Rutherford]] aliyefanya majaribio ya kufyatulia mnururisho wa alfa dhidi ya bati nyembamba ya dhahabu. Baada ya kugundua kuwepo kwa nyutroni mwaka 1932 [[Dmitri Ivanenko]] alitunga maelezo ya kiini cha atomi kuwa nyutroni na protoni <ref>{{cite journal|author=Iwanenko, D.D.|title= The neutron hypothesis|journal= Nature |volume=129|issue= 3265|pages= 798|doi=10.1038/129798d0|year= 1932|bibcode = 1932Natur.129..798I }}</ref> and [[Werner Heisenberg]].<ref>{{cite journal |last=Heisenberg |first=W. |title=Über den Bau der Atomkerne. I |journal=[[Z. Phys.]] |volume=77 |pages=1–11 |year=1932 |doi=10.1007/BF01342433 |bibcode = 1932ZPhy...77....1H }}</ref><ref>{{cite journal |last=Heisenberg |first=W. |title=Über den Bau der Atomkerne. II |journal=Z. Phys. |volume=78 |pages=156–164 |year=1932 |doi=10.1007/BF01337585 |issue=3–4 |bibcode = 1932ZPhy...78..156H }}</ref><ref>{{cite journal |last=Heisenberg |first=W. |title=Über den Bau der Atomkerne. III |journal=Z. Phys. |volume=80 |pages=587–596 |year=1933 |doi=10.1007/BF01335696 |issue=9–10 |bibcode = 1933ZPhy...80..587H }}</ref><ref>Miller A. I. ''Early Quantum Electrodynamics: A Sourcebook'', Cambridge University Press, Cambridge, 1995, ISBN 0521568919, pp. 84–88.</ref><ref>{{cite book |author1=Fernandez, Bernard |author2=Ripka, Georges |lastauthoramp=yes |title=Unravelling the Mystery of the Atomic Nucleus: A Sixty Year Journey 1896 — 1956 |chapter=Nuclear Theory After the Discovery of the Neutron |chapterurl=https://books.google.com/books?id=4PxRBakqFIUC&pg=PA263 |year=2012 |publisher=Springer |isbn=9781461441809 |page=263 }}</ref>
 
Kuwepo kwa kiini ndani ya atomi kulitambuliwa mwaka 1911 na [[Ernest Rutherford]] aliyefanya majaribio ya kufyatulia mnururisho wa alfa dhidi ya bati nyembamba ya dhahabu. Baada ya kugundua kuwepo kwa nyutroni mwaka [[1932]] [[Dmitri Ivanenko]] alitunga maelezo ya kiini cha atomi kuwa nyutroni na protoni <ref>{{cite journal|author=Iwanenko, D.D.|title= The neutron hypothesis|journal= Nature |volume=129|issue= 3265|pages= 798|doi=10.1038/129798d0|year= 1932|bibcode = 1932Natur.129..798I }}</ref> andna [[Werner Heisenberg]].<ref>{{cite journal |last=Heisenberg |first=W. |title=Über den Bau der Atomkerne. I |journal=[[Z. Phys.]] |volume=77 |pages=1–11 |year=1932 |doi=10.1007/BF01342433 |bibcode = 1932ZPhy...77....1H }}</ref><ref>{{cite journal |last=Heisenberg |first=W. |title=Über den Bau der Atomkerne. II |journal=Z. Phys. |volume=78 |pages=156–164 |year=1932 |doi=10.1007/BF01337585 |issue=3–4 |bibcode = 1932ZPhy...78..156H }}</ref><ref>{{cite journal |last=Heisenberg |first=W. |title=Über den Bau der Atomkerne. III |journal=Z. Phys. |volume=80 |pages=587–596 |year=1933 |doi=10.1007/BF01335696 |issue=9–10 |bibcode = 1933ZPhy...80..587H }}</ref><ref>Miller A. I. ''Early Quantum Electrodynamics: A Sourcebook'', Cambridge University Press, Cambridge, 1995, ISBN 0521568919, pp. 84–88.</ref><ref>{{cite book |author1=Fernandez, Bernard |author2=Ripka, Georges |lastauthoramp=yes |title=Unravelling the Mystery of the Atomic Nucleus: A Sixty Year Journey 1896 — 1956 |chapter=Nuclear Theory After the Discovery of the Neutron |chapterurl=https://books.google.com/books?id=4PxRBakqFIUC&pg=PA263 |year=2012 |publisher=Springer |isbn=9781461441809 |page=263 }}</ref>
Idadi ya protoni katika kiini inafanya [[namba atomia]]. Namba ya nyukleoni (protoni na nyutroni kwa pamoja) hufanya namba ya masi. Masi ya atomi thabiti zinazotokea kiasili ziko kati ya 1 ([[hidrojeni]]) na 238 ([[urani]]). Atomi zenye masi kubwa zaidi hazitokei duniani kiasili maana si thabiti
 
[[Idadi]] ya protoni katika kiini inafanya [[namba atomia]]. [[Namba]] ya nyukleoni (protoni na nyutroni kwa pamoja) hufanya namba ya masi. Masi ya atomi thabiti zinazotokea kiasili ziko kati ya 1 ([[hidrojeni]]) na 238 ([[urani]]). Atomi zenye masi kubwa zaidi hazitokei [[duniani]] kiasili maana si thabiti.
 
Ukubwa wa kiini cha atomi ni takriban [[femtomita]] 1.6 (10-15 m) (hidrojeni) hadi femtomita 15 (urani).
 
Ilhali karibu masi yote ikoimo ndani ya kiini, nafasi yake ni ndogo na sehemu kubwa ya nafasi ya atomi huchukuliwa na mzingo elektroni.
 
Kwa hali ya kawaida atomi haionyeshi [[chaji ya umeme]]. Ina chaji ndani yake kulingana na idadi ya protoni ambazo ni chanya na elektroni ambazo ni hasi. Katika hali ya kawaida idadi yaoyake ni sawa, kwa hiyo chaji zinajibatilishanazinabatilishana. Lakini kama elektroni zinaondoka katika mzingo elektronikielektroni hali inabadilika na atomi huonyesha chaji. Kiini cha atomi pekeepeke yake daima inakina chaji chanya maana hainahakina elektroni zilizopozilizomo kwenyekatika mzingo.
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-kemia}}
 
[[jamii:atomi]]