Bongo Flava : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 16:
|madanyingine =
}}
'''Bongo flavaFlava''' ni jina badala la [[muziki]] wa [[Hip hop ya Tanzania]]. Mtindo huu ulianzishwa kwenye [[miaka ya 1990]], hasa ukiwa kama mwigo au utokanaji wa [[hip hop]] kutoka [[Marekani]], ikiwa na ongezeko la athira ya muziki wa [[reggae]], [[rhythm and blues|R&B]], [[afrobeat]], [[dancehall]], na mitindo ya asili ya Kitanzania kama vile [[taarab]] na [[muziki wa dansi|dansi]], muunganiko ambao umeunda mtindo wa kipekeepekee wa muziki.<ref name="ReferenceA">Mueller, Gavin. "Bongoflava: The Primer." Stylus Magazine, 12 May 2005</ref> Mashairi kawaida huwa kwa lugha ya [[Kiswahili]] au [[Kiingereza]].
 
Jina la "bongo flava" ni tokeo la matini yaliyoharibiwa kutoka "bongo flavour", ambapo "bongo" ni wingi wa neno ''[[wikt:ubongo|ubongo]]'', ambapo mara nyingi huchukua nafasi ya kutaja jina la utani la [[Dar es Salaam]], jiji ambalo mtindo aina ya mtindo huu inatokea. Katika bongo flava, sitiari ya "bongo" inaweza kutaja zaidi maana ya ujanjaujanja wa mtaani, ya ''msela'' au masela wingi wake.<ref>{{cite journal|last=Stroeken|first=Koen|title=Immunizing Strategies: Hip-Hop and Critique in Tanzania|journal=[[Africa (journal)|Africa]]|volume=75|issue=4|pages=488–509|date=Winter 2005|doi=10.3366/afr.2005.75.4.488}}</ref>
Mstari 24:
Asili ya mwanzo kabisa na jinsi "Bongo flava" ilivyoanzishwa nchini Tanzania ni kutokana na [[Taji Liundi]] akiwa kama kiini cha hadithi hii. Kifupi hakuna asili bila yeye.
Taji Liundi pia anajulikana kama Master T, mwasisi, mwanzilishi na vilevile mtayarishaji wa kipindi cha Dj Show alishaanza kupiga nyimbo za wasanii wa ndani tangu mwishoni mwa miaka ya 1994. Mike Mhagama baadaye akajiunga na kipindi akiwa chini ya ukufunzi wa Master T. Aliendelea na kutangaza kipindi hicho peke yake hata baada ya Master T kuondoka Radio One mnamo 1996.
 
"Bongo flava" ilikaa vizuri sana hata kabla ya rekodi za video au sauti. Vijana mjini Dar es salaam walikuwa wakirap ufukweni mwa bahari kupitia matamasha mbalimbali (yameandaliwa na [[Joseph Kusaga]] ambaye anamiliki Mawingu Discothèque, baadaye Mawingu Studios na sasa ni [[Clouds Media Group]]), matamasha ya ndani yaliyochukua sura mpya rasmi baada ya kuanzisha mfululozo wa shindano la Yo!Rap Bonanza ambalo lilikuwa likichochewa na DJ Kim "And the Boyz" Magomelo.
Line 30 ⟶ 31:
Moja kati ya makundi ya mwanzo kabisa kurekodi na kupeleka CD Radio One ili irushwe ilikuwa bendi ya Mawingu, kundi ambalo lilitamba sana mwanzoni mwa miaka ya 1994. Walirekodia katika Studio za Mawingu. Wanachama wake walikuwa kina Othman Njaidi, Eliudi Pemba, Columba Mwingira, Sindila Assey, Angela, Robert Chuwa, Boniface Kilosa (a.k.a. Dj Boni Love) na baadaye Pamela ambaye aliimba kibao chao kilichovunja rekodi cha RnB/Rap "[[Oya Msela]]". Wimbo ulikuwa maarufu mno na baadaye hilo neno likabaki hadi leo. Bendi ya Mawingu hujadilika kama waanzilishi wa ladha aina ya RnB ya Bongo flava.
Dar Young Mob lilikuwa kundi la kwanza la hip hop ya kweli kurekodi na Mawingu Studios chini ya utayarishaji wake Dj Boni Love. Lilikuwa kundi la kwanza kupigiwa kibao chao katika redio ya binafsi nchini Tanzania.
 
==Umaarufu==
 
==Tabia==
Line 43 ⟶ 42:
Fid Q at the 2013 Zanzibar International Film Festival.jpg|[[Fid Q]]
Khalid Mohamed (TID) at the 2015 Zanzibar International Film Festival.jpg|[[TID (musician)|TID]]
Dully Sykes.jpg|[[Dully Sykes]]
A.Y. (musician).jpg|[[A.Y. (musician)|A.Y.]]
Christian Bella at the 2015 Zanzibar International Film Festival.jpg|Christian Bella
Mzungu Kichaa.jpg|[[Mzungu Kichaa]]
Vanessa Mdee at ZIFF 2015.jpg|[[Vanessa Mdee]]
Diamond Platnumz.jpg|[[Diamond Platnumz]]
</gallery>
 
 
==Tazama pia==
Line 59 ⟶ 55:
<references />
 
==Viungo vya Njenje==
* [http://www.bongoflava.net BongoFlava.net]
* [http://www.bongoflava.com/ Tovuti ya Bongo Flava]
* [http://www.swahiliremix.com/ Tovuti ya Swahili Remix]
Line 74 ⟶ 70:
{{DEFAULTSORT:Bongo, Flava}}
[[Jamii:Muziki wa Kizazi Kipya]]
[[Jamii:Hip hop ya Tanzania]]
[[Jamii:Muziki wa Tanzania]]