Majilio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Video
Mstari 1:
[[Picha:Mwaka wa kanisa.jpg|400px|thumb|Mwaka wa Kanisa kadiri ya [[kalenda ya liturujia]] ya [[Roma]] kama kielelezo cha kawaida kwa Wakristo wa magharibi.]]
[[Picha:HK Advents-Labyrinth 14122013 100sec.ogg|thumb|thumbtime=84|Cretan style ujio labyrinth kufanywa na 2500 kuchoma tealights katika Kituo cha Christian Meditation na kiroho wa Dayosisi ya Limburg katika Msalaba Mtakatifu Kanisa katika [[Frankfurt am Main]]-Bornheim]]
{{Mwaka wa liturujia}}
'''Majilio''' (pia: '''Adventi''') ni kipindi cha [[liturujia]] ya [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]] (kama vile [[Kanisa Katoliki]], ya [[Waorthodoksi]], [[Waanglikana]] na [[Walutheri]]) kinatangulia [[sherehe]] ya [[Noeli]] na kuanza [[mwaka wa liturujia]]. Kinaweza kudumu kati ya siku 22 na 40.