Kasi ya nuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
tahajia
Mstari 6:
 
Tangu safari ya kwanza ya watu kufika [[mwezi]] chini ya [[Mradi wa Apollo]] wa [[NASA]] tabia ya nuru kuwa na kasi ilionekana kwa watazamaji wote. Kila safari kituo cha NASA katika mji wa [[Houston]] iliwaita [[wanaanga]] kwa redio jibu ilichukua sekunde kadhaa hadi kufika kutokana na umbali wa kilomita lakhi tatu kati ya dunia na mwezi hivyo mazungumzo yaliendelea kwa vituo vya kusubiri hadi sauti imefika na kurudi.
Kama siku moja wanaanga watasafiri mbali zaidi hadi Meriki[[Mirihi]] au [[Zohali]] muda huu utaongezeka kutokana na umbali na kasi ya nuru inayobaki ileile.
 
[[Jamii:Vipimo]]