Kichapuzi chembe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
{{fupi}}
 
[[File:CERN_Aerial_View.jpg|right|thumb|Eneo la CERN kutoka hewani]]
'''KikazanishioKichapuzi mwendochembe''' waau kikamilifu zaidi '''Kichapuzi cha chembe cha nyuklia''' ni(ing. kifaa''particle kitumiachoaccelerator'') ugani wakifaa umemesumakucha kuongezea mwendo wa [[chembe za nyuklia]], yaani chembe ndogo sana, kama [[atomu]] au sehemu za atomu hadi kukaribia mwendokasi wa mwanga na vichembe hivyo kuweza kukusanywa katika miale maalum iliyopangiliwa.
 
Mfano maarufu ni kikazanishio mwendo waKichapuzi chembe kiitwacho [[CERN]] kilichojengwa karibu na [[mji]] wa [[Geneva]], mpakani kwa [[Uswisi]] na [[Ufaransa]].
 
Kichapuzi chembe kinaharakisha mwendo wa chembe hadi kufikia kasi ya juu hata kukaribia kasi ya nuru. Kichapuzi kinatekeleza kazi hii kwa kutumia [[uga sumakuumeme]] zinazosukuma chembe kama [[elektroni]], [[protoni]] au [[viini vya atomi]]. Matumizi ya vichapuzi chembe ni hasa utafiti wa fizikia ya chembe. Lakini mashine hizi zinatumiwa pia kwa tiba ya [[kansa]] kwa kulenga [[nyutroni]] kwa [[seli]] husika<ref>U. Amaldi and G. Kraft, "Radiotherapy with beams of carbon ions" in Rep. Progr. Physics 68 (2005) [pp.?] 1861, 1861–1882.</ref>.<ref>[https://books.google.de/books?id=TcJOCgAAQBAJ&pg=PA24&dq=U.+Amaldi+and+G.+Kraft,+%22Radiotherapy+with+beams+of+carbon+ions%22&hl=en&sa=X&redir_esc=y#v=onepage&q=U.%20Amaldi%20and%20G.%20Kraft%2C%20%22Radiotherapy%20with%20beams%20of%20carbon%20ions%22&f=false Marcos d’Ávila Nunes, Protontherapy Versus Carbon Ion Therapy: Advantages, Disadvantages and Similarities], Springer 2015 , uk 21ff; iliangaliwa kupitia google books tar. 9-12-2016</ref>
 
Vichapuzi vyembe vinakuwa kubwa zaidi kadri ya chembe zinazochunguliwa ni ndogo zaidi. Mashine kubwa sana kama vile CERN huko Geneva zinatumiwa kwa kutafuta chembe ambazo ni ndogo kuliko atomi. Mashine ndogo hutumiwa kwa utafiti kwa kiini cha atomi au kwa tiba.
 
Mfano maarufu ni kikazanishio mwendo wa chembe kiitwacho CERN kilichojengwa karibu na [[mji]] wa [[Geneva]], mpakani kwa [[Uswisi]] na [[Ufaransa]].
Kuna takribani vichapuzi vichembe 30,000 duniani kote mpaka sasa.
 
{{mbegu-fizikia}}