Tofauti kati ya marekesbisho "Kichapuzi chembe"

4 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
Mfano maarufu ni Kichapuzi chembe kiitwacho [[CERN]] kilichojengwa karibu na [[mji]] wa [[Geneva]], mpakani kwa [[Uswisi]] na [[Ufaransa]].
 
Kichapuzi chembe kinaharakisha mwendo wa chembe hadi kufikia kasi ya juu hata kukaribia [[kasi ya nuru]]. Kichapuzi kinatekeleza kazi hii kwa kutumia [[uga sumakuumeme]] zinazosukuma chembe kama [[elektroni]], [[protoni]] au [[viini vya atomi]]. Matumizi ya vichapuzi chembe ni hasa utafiti wa fizikia ya chembe. Lakini mashine hizi zinatumiwa pia kwa tiba ya [[kansa]] kwa kulenga [[nyutroni]] kwa [[seli]] husika<ref>U. Amaldi and G. Kraft, "Radiotherapy with beams of carbon ions" in Rep. Progr. Physics 68 (2005) [pp.?] 1861, 1861–1882.</ref>.<ref>[https://books.google.de/books?id=TcJOCgAAQBAJ&pg=PA24&dq=U.+Amaldi+and+G.+Kraft,+%22Radiotherapy+with+beams+of+carbon+ions%22&hl=en&sa=X&redir_esc=y#v=onepage&q=U.%20Amaldi%20and%20G.%20Kraft%2C%20%22Radiotherapy%20with%20beams%20of%20carbon%20ions%22&f=false Marcos d’Ávila Nunes, Protontherapy Versus Carbon Ion Therapy: Advantages, Disadvantages and Similarities], Springer 2015 , uk 21ff; iliangaliwa kupitia google books tar. 9-12-2016</ref>
 
Vichapuzi vyembe vinakuwa kubwa zaidi kadri ya chembe zinazochunguliwa ni ndogo zaidi. Mashine kubwa sana kama vile CERN huko Geneva zinatumiwa kwa kutafuta chembe ambazo ni ndogo kuliko atomi. Mashine ndogo hutumiwa kwa utafiti kwa kiini cha atomi au kwa tiba.