Leopold Sedar Senghor : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Léopold Sédar Senghor hadi Leopold Sedar Senghor
No edit summary
Mstari 18:
|signature = Senghorsig.jpg
}}
'''Léopold Sédar Senghor''' ([[9 Oktoba]] [[1906]][[20 DisembaDesemba]] [[2001]]) alikuwa [[mshairi]], [[mwanasiasa]] na hatimaye [[rais]] wa kwanza wa [[Senegal]] kati ya miaka [[1960]] na [[1980 ]].
 
Senghor alikuwa [[Mwafrika]] wa kwanza aliyechaguliwa kuwa mwanachama wa ''[[Académie française]]''. Kabla ya [[uhuru]] wa nchi yake aliunda [[Chama cha kisiasa|chama]] cha [[Umoja wa Kidemokrasia wa Senegal]] (kwa [[fr.Kifaransa]]: ''Bloc démocratique sénégalais; kwa [[ing.Kiingereza]]: Senegalese Democratic Bloc''). Wengi wanamhesabu kati ya [[wataalamu]] Waafrika muhimu zaidi Waafrika katika [[karne ya 20]].
 
==Maisha==
Senghor alizaliwa katika [[kijiji]] cha Joal kilichowahi kuwa kati ya vituo vya kwanza vya [[wafanyabiashara]] wakutoka [[Ulaya]] na pia kitovu cha misioni[[misheni]] yaZa kikatoliki[[Kanisa Katoliki]] kwenye [[pwani]] laya Senegal. Babake[[Baba]] yake alikuwa mfanyabiashara mzalendo, mamaye[[mama]] yake [[mke]] wa [[tatu]] wa baba na Mislamu[[Uislamu|Muislamu]].
 
Alipokuwa na [[umri]] wa miaka 8 alianza kUsuomakusoma [[shule]] ya [[Padre|mapadre]] akaendelea kwenye [[seminari]] ya mapadre[[mapadri wa Roho Mtakatifu]] na baadayebaada ya alishauriwakushauriwa asiendelee kutafuatna masomo ya upadre alisoma shule ya kawaida. Alimaliza vema hasa kwa masomo ya [[Kifaransa]] na [[Kilatini]] akapewa nafasi ya kusoma chuo Ufaransa <ref>Bryan Ryan. ''Major 20th-Century Writers: a selection of sketches from contemporary authors'', Volume 4, Gale Research, 1991. ISBN 0-8103-7915-5, ISBN 978-0-8103-7915-2</ref>.
 
Alimaliza vema hasa kwa masomo ya [[Kifaransa]] na [[Kilatini]] akapewa nafasi ya kusoma [[chuo]] [[Ufaransa]] <ref>Bryan Ryan. ''Major 20th-Century Writers: a selection of sketches from contemporary authors'', Volume 4, Gale Research, 1991. ISBN 0-8103-7915-5, ISBN 978-0-8103-7915-2</ref>.
1928 Senghor alienda Ufaransa aliposoma lugha <ref>Janet G. Vaillant. ''Black, French, and African: a life of Léopold Sédar Senghor'', Harvard University Press, 1990. ISBN 0-674-07623-0, ISBN 978-0-674-07623-5</ref> na baadaye sarufi ya Kifaransa kweye Chuo Kikuu cha Paris. Baada ya masomo alipewa nafasi ya kufundisha kwenye vyuo vya Tours na Paris. 1932 aliwahi kupata uraia wa Ufaransa.
 
Mwaka [[1928]] Senghor aliendaalikwenda Ufaransa aliposoma [[lugha]] <ref>Janet G. Vaillant. ''Black, French, and African: a life of Léopold Sédar Senghor'', Harvard University Press, 1990. ISBN 0-674-07623-0, ISBN 978-0-674-07623-5</ref> na baadaye [[sarufi]] ya [[Kifaransa]] kweyekwenye [[Chuo Kikuu cha Paris]]. Baada ya masomo alipewa nafasi ya kufundisha kwenye vyuo vya [[Tours]] na [[Paris]]. 1932Mwaka aliwahi[[1932]] kupataalipata [[uraia]] wa Ufaransa.
Tangu siku zake masomoni alikuwa na urafiki na Aime Cesaire na pamoja naye alibuni hoja la "negritude" walipotetea kuwepo kwa utamaduni wa pekee wa "watu weusi" kama utamaduni wa pekee na muhimu tofauti na utamaduni wa Kiulaya.
 
Tangu siku zake masomoni alikuwa na [[urafiki]] na Aime Cesaire na pamoja naye alibuni hoja laya "[[negritude]]" walipotetea kuwepo kwa [[utamaduni wa pekee]] wa "watuWatu weusiWeusi" kama utamaduni wa pekee na muhimu, tofauti na utamaduni wa KiulayaKizungu.
Mwaka 1945 baada ya vita na uhuru wa Ufaransa alijiunga na chama cha kisoshalisti akachaguliwa kama mbunge.
 
Mwaka [[1945]], baada ya [[vita vikuu vya pili]] na uhuruushindi wa Ufaransa, alijiunga na [[Usoshalisti|chama cha kisoshalisti]] akachaguliwa kamakuwa [[mbunge]].
1960 alichaguliwa kuwa rais wa kwanza wa Senegal akaendela kushika naafsi hii hadi 1980.
 
Mwaka 1960 alichaguliwa kuwa rais wa kwanza wa Senegal akaendela kushika naafsinafasi hiihiyo hadi mwaka 1980 alipong'atuka kwa [[hiari]].
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-mwanasiasa}}
 
[[jamii:wanasiasa wa Senegal]]