Mawasiliano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Mawasiliano''' ni [[mchakato]] wa kuhamisha [[taarifa]] kutoka '''[[chombo]]''' kimoja hadi kingine. Michakato ya mawasiliano ni mwingiliano unaohusisha [[ishara]] kati ya angalau ma[[wakala]] wawili walio na '''mkusanyiko''' wa ishara na [[sheria]] za '''[[elimu ishara]]'''.
 
Mawasiliano kwa kawaida hufafanuliwa kama "'''kupasha'''kupashana au kubadilishana ma[[wazo]], ma[[oni]], au [[habari]] kwa ma[[neno]], ma[[andishi]], au ishara".
 
Ingawa kuna [[kitu]] kama mawasiliano ya [[njia]] moja, mawasiliano yanaweza kueleweka vyema kama [[mchakato]] kati ya wahusika wawili ambapo kuna mabadilishano na kukuza kwa [[fikra]], [[hisia]] au [[mawazo]] (nishati) kufikia [[lengo]] lililokubaliwa au [[mwelekeo]] uliokubaliwa (habari). <ref>{{cite book |last1=Schwartz |first1=Gary E. |last2=Simon |first2=William L. |last3=Carmona |first3=Richard |title=The Energy Healing Experiments |url=http://books.google.com/books?id=lj7CUO6uo4YC&pg=PA129&dq=Communication%20two-way%20process&f=false |page=129 |year=2008 |publisher=Simon & Schuster |isbn=0743292399 |quote=All communication is a process of exchanging energy and exchanging information.}}</ref>
 
== Muhtasari ==
Mawasiliano ni mchakato ambapo habari hupakiwa na kutumwa na kupashwa na anayetumamtu kwa anayepokea kupitia kwa njia maalum. Kisha anayepokea hupakua [[ujumbe]] ule na kumpatia aliyetuma (ma)[[jibu]]. Aina zote za mawasiliano huhitaji anayetumamtumaji, ujumbe, na anayepokeampokeaji.
 
Mawasiliano huhitaji kwamba wale wanaohusika katika mawasiliano wawe na jambo linalowaunganisha kimawasiliano. Kuna [[njia zinazohusisha kusikia]], kama vile [[unenaji]], [[wimbo]], na [[toni]] ya [[sauti]], na kuna [[zile zisizohusisha kusikia]], kama vile [[mwondoko|miondoko]] ya [[mwili]], [[lugha ishara]], kugusa, kuwasiliana kwa [[jicho|macho]], na [[kuandika]].
 
== Mabadiliko katika mawasiliano ==
Kadri ambavyoKadiri [[wakati]] umepitaunavyopita, [[teknolojia]] imeendelea kukua na kuibua aina mpya yaza mawazo kuhusu mawasiliano. [[Maendeleo]] hayahayo ya teknolojia yalibadilisha jinsi mawasiliano yanavyofanyika. Watafiti wamegawanya jinsi mawasiliano yalivyobadilika katika hatua tatu.
 
Mabadiliko ya mwanzo katika mawasiliano: mawasiliano ya kwanza katika maandishi yalianza na [[mchoro|michoro]]. Maandishi hayahayo yaliandikwa kwenye [[jiwe|mawe]], ambayo yalikuwa mazito mno kuhamishwa. Wakati huo, mawasiliano katikaya maandishi hayangeweza kubebwa, ingawa yalikuwepo.
 
Mabadiliko ya pili katika mawasiliano: maandishi yalianza kufanyiwa kwenye [[karatasi]], ma[[vunjo]], [[udongo]], [[nta]], n.k. [[Herufi]] za [[alfabeti]] zilibuniwa, hivyo basi kuruhusu [[mfanano]] wa lugha katika ma[[eneo]] makubwa. Baada ya muda, shirika la [[uchapishaji]] la [[Gutenberg]] lilianzishwa. Gutenberg alitayarisha [[kitabu]] cha kwanza cha kuchapishwa akitumia [[mashine]] yake, na kitabu hicho kilikuwa [[Biblia]]. Maandiko hayahayo yaliweza kusafirishwa kwa watu wengine [[dunia]]ni ili wayaone., Mawasilianopia ya maandishi sasa yanawezayaliweza kuhifadhiwa na kubebwa.
 
Mabadiliko ya tatu ya mawasiliano: [[taarifa]] sasa inaweza kuhamishwa kupitia ma[[wimbi]], na [[ishara za kielektroniki]].
 
Kwa hiyo mawasiliano ni njia inayotumiwa katika kutoa na kufikisha [[maana]] katika [[jaribio]] la kusababisha [[ufahamu]] wa jumla. [[Utaratibu]] huu unahitaji mkusanyiko mkubwa wa ujuzi wa mawasiliano miongoni mwa na baina ya watu, kusikiliza, kutazama, kuongea, kuhoji, kuchambua, na kutathmini. Ni kupitia kwa mawasiliano ambapokwamba [[ushirikiano]] hutokea. <ref>{{cite web|title=communication|work=office of superintendent of Public instruction|location=Washington|url=http://www.k12.wa.us/CurriculumInstruct/Communications/default.aspx |accessdate=14 Machi 2008 | dateformat=mdy}}</ref>.....
 
Pia kuna vi[[kwazo]] vingi vya kawaida katika mawasiliano. Viwili kati ya vikwazo hivyoyake vikiwa '''kupasha ujumbe kupita kiasi''' (mtu anapopokea ujumbe mwingi mno kwa wakati mmoja), na '''ujumbe changamano.'''
 
== Aina za mawasiliano ==
Kuna sehemu tatu kuu katika mawasiliano ya [[binadamu]] ya ana kwa ana ambayo ni miondoko ya kimwilimwili, toni ya sauti, na maneno. Kulingana na [[utafiti]]: <ref> Mehrabian na Ferris (1967). "Inference of Attitude from Nonverbal Communication in Two Channels". Katika: ''The Journal of Counselling Psychology'' Vol.31, 1967, pp.248-52.</ref>
 
* 55% ya [[athari]] hulingana na miondoko ya kimwilimwili. -Kwa mfano: jinsi mtu alivyokaa, ishara za [[uso]] au, [[mkono|mikono]], na mawasiliano kupitia kwa macho,
* 38% hulingana na toni ya sauti, na
* 7% kwahulingana na maudhui (ujumbe au maneno) yaliyotumika katika mchakato wa mawasiliano.
 
Ingawa [[asilimia]] ya [[ushawishi]] inaweza ikabadilika kulingana na [[sababu]] tofauti, kama vile [[msikilizaji]] na [[msemaji]], mawasiliano kwa jumla hulenga kutimiza lengo moja, kwa hiyo, katika baadhi ya ma[[tukio]], huwa yanafanana kote duniani. Mfumo wa ishara, kama vile sauti, kiimbo au [[uzito]] wa sauti, ishara za mikono au za uso au ishara zilizoandikwa ambazo huwasilisha mawazo au [[hisia]]. Ikiwa [[lugha]] inahusu kuwasiliana kwa ishara, sauti, [[mlio]], ishara za uso au za mikono, au ishara zilizoandikwa, je, mawasiliano ya [[wanyama]] yanaweza kuchukuliwa kama lugha? Wanyama hawana lugha iliyoandikwa, lakini wao hutumia lugha ya kuwasiliana miongoni mwao. Katika hali hiyo, mawasiliano ya wanyama yanaweza kuchukuliwa kama lugha ya namna yake.
 
Ikiwa [[lugha]] inahusu kuwasiliana kwa ishara, sauti, [[mlio]], ishara za uso au za mikono, au ishara zilizoandikwa, je, mawasiliano ya [[wanyama]] yanaweza kuchukuliwa kama lugha? Wanyama hawana lugha iliyoandikwa, lakini mawasiliano ya wanyama yanaweza kuchukuliwa kama lugha ya namna yake.
Lugha za [[binadamu]] zinazozungumzwa na kuandikwa zinaweza kufafanuliwa kama [[mfumo]] wa [[ishara]] (zinazojulikana wakati mwingine kama [[leksia) na sarufi (kanuni)|leksia) na [[sarufi]] [[wiktionary:rule|(kanuni)]]]]) ambayo ishara hizo huzingatia. Neno "lugha" pia hutumika kurejelea [[sifa]] bainifu za lugha. [[Kujifunza Lugha]] ni jambo la kawaida katika [[utoto]] wa binadamu. Lugha nyingi za binadamu hutumia mifumo ya [[sauti]] au [[ishara]] ambazo huwezesha mawasiliano baina ya mtu na wenzake. Kuna ma[[elfu]] ya lugha za binadamu, na huwa na sifa bainifu, ingawa nyingi ya sifa hizi huwa na upekee.
 
Lugha za [[binadamu]] zinazozungumzwa na kuandikwa zinaweza kufafanuliwa kama [[mfumo]] wa [[ishara]] (zinazojulikana wakati mwingine kama [[leksia]] na [[sarufi]]) ambayo ishara hizo huzingatia. Neno "lugha" pia hutumika kurejelea [[sifa]] bainifu za lugha.
Hakuna mgawanyo dhahiri kati ya lugha na [[lahaja]], lakini [[mwanaisimu]] [[Weinreich Max]] anatambuliwa kwa kusema kuwa "lugha ni lahaja iliyo na [[jeshi]] la nchi kavu na la [[maji]]ni ". [[Lugha za kuundwa]] kama vile [[Kiesperanto]], lugha za [[tarakilishi]], na ma[[umbo]] mbalimbali ya [[hisabati]] haziko chini ya sifa bainifu zinazohusisha lugha za binadamu.
 
Lugha za [[binadamu]] zinazozungumzwa na kuandikwa zinaweza kufafanuliwa kama [[mfumo]] wa [[ishara]] (zinazojulikana wakati mwingine kama [[leksia) na sarufi (kanuni)|leksia) na [[sarufi]] [[wiktionary:rule|(kanuni)]]]]) ambayo ishara hizo huzingatia. Neno "lugha" pia hutumika kurejelea [[sifa]] bainifu za lugha. [[Kujifunza Lugha]] ni jambo la kawaida katika [[utoto]] wa binadamu. Lugha nyingi za binadamu hutumia mifumo ya [[sauti]] au [[ishara]] ambazo huwezesha mawasiliano baina ya mtu na wenzake. Kuna ma[[elfu]] ya lugha za binadamu, nanazo huwa na sifa bainifu, ingawa nyingi ya sifa hizi huwa na upekee.
 
Hakuna mgawanyo dhahiri kati ya lugha na [[lahaja]], lakini [[mwanaisimu]] [[Weinreich Max]] anatambuliwa kwa kusema kuwa "lugha ni lahaja iliyo na [[jeshi]] la nchi kavu na la [[maji]]ni ". [[Lugha za kuundwa]] kama vile [[Kiesperanto]], lugha za [[tarakilishi]], na ma[[umbo]] mbalimbali ya [[hisabati]] haziko chini ya sifa bainifu zinazohusisha lugha za binadamu.
 
=== Mawasiliano kwa Ishara/kutazama ===
[[Mawasiliano kwa ishara]] ni mchakato wa kuwasiliana kwa njia ya kutuma na kupokea [[ujumbe]] usiohusisha maneno. Ujumbe kama huo unaweza kuwasilishwa kupitia ishara za uso au mikono, miondoko ya kimwili au jinsi ya kukaa; ishara ya uso na kutazamana machoni, mawasiliano kwa vitu kama vile ma[[vazi]] uliyovalia, jinsi ulivyotengeza [[nywele]], au hata kwa michoro, pia kupitia jumla ya njia zilizoandikwa hapo juu, kama vile mawasiliano kupitia kwa [[tabia]]. Mawasiliano kwa ishara huwa na [[jukumu]] muhimu katika [[maisha]] ya kila [[siku]] ya kila mtu, iwe ni katika uhusiano wa ki[[ajira]] hadi wa ki[[mapenzi]].
 
Mazungumzo pia huwa na vipengele vya mawasiliano kwa ishara yanayojulikana kama 'paralanguage' au 'viziada-lugha', ambayo huhusisha [[ubora]] wa sauti, hisia na mitindo ya kuzungumza, ikiwa pamoja na sifa za kiarudhi kama vile [[mdundo]], [[afudhilafudhi]] na [[msisitizo]]. Aidha, [[matini]] zilizoandikwa zina vipengele vya mawasiliano kwa ishara kama vile [[mtindo]] wa kuandika, [[mpangilio]] wa maneno, au [[matumizi]] ya hisia. Neno lililounganisha maneno ya [[Kiingereza]] ya hisia (au emote) na [[ikoni]] (icon), [[kihisishi]] (an emoticon) ni ishara au [[muungano]] wa ishara zinazotumiwa kupitisha hisia katika maandishi.
 
Aina zingine za mawasiliano kama vile [[telegrafia]] huwa katika [[kategoria]] hii, ambapo ishara hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kwa njia tofauti. Ishara hizi zinaweza kuwa viwakilishi vya maneno, vifaa au ma[[kadirio]] tu. Ma[[jaribio]] yameonyesha kwamba binadamu wanaweza kuwasiliana moja kwa moja kupitia kwa njia hii <ref>[9] ^ [[Warwick, K, Gasson, M,]] Hutt, B, Goodhew, I, [[Kyberd, P,]] Schulzrinne, H na Wu, X: "Thought Communication and Control: A First Step using Radiotelegraphy", ''IEE Proceeedings on Communication,'' 151 (3), pp.185-189, 2004</ref> bila miondoko ya kimwili, toni ya sauti au maneno.
 
'''Kategoria na sifa'''
GW Porter anagawanya mawasiliano kwa ishara katika kategoria nne:
 
 
'''Kimwili.''' Hii ni aina ya mawasiliano ya kibinafsi. Mawasiliano haya yanahusisha ishara za uso, toni ya sauti, kugusa, kunusa, na miondoko ya mwili.
 
'''Ujumi.''' Hii ni aina ya mawasiliano ambayo hufanyika kupitia kwa njia za ubunifu: kucheza ala ya muziki, dansi, uchoraji na uchongaji.
 
'''Ujumi''' Hii ni aina ya mawasiliano ambayo hufanyika kupitia kwa njia za ubunifu: kucheza ala ya muziki, dansi, uchoraji na uchongaji.
 
 
'''Ishara.''' Hii ni aina ya mawasiliano, ambayo inajumuisha matumizi ya bendera za ishara, milio 21 ya bunduki, pembe, na ving'ora.
 
 
'''Kiashiria.''' Hii ni aina ya mawasiliano ambayo inatumia alama za kidini, hadhi, au za kujenga nafsi.
Line 59 ⟶ 60:
 
'''Sifa zisizobadilika'''
 
 
'''Umbali.''' Umbali mtu mmoja anaosimama kutoka kwa mtu mwingine kwa kawaida huwasilisha ujumbe fulani. Katika baadhi ya tamaduni hii ni ishara ya mvuto, na kwa wengine inaweza kuonyesha hadhi au umuhimu wa ujumbe unaopitishwa.
 
 
'''Namna ya kujiwasilisha.''' Watu wanaweza kujiwasilisha kwa njia mbalimbali: uso kwa uso, ubavu kwa ubavu, au hata wakifuatana. Kwa mfano, watu walio na ushirikiano kuna uwezekano watakaa ubavu kwa ubavu na washindani wakati mwingi hutazamana.
 
 
'''Namna ya kukaa.''' Kwa kawaida mtu anaweza kuwa amelala chini, ameketi, au amesimama. Hivi sio vipengele vya mkao vinavyowasilisha ujumbe. Je, sisi tunatembea kwa kujikokota au tumesimama wima? Tunakunja miguu au mikono yetu? Njia kama hizi za kukaa huwasilisha kiwango cha urasmi na kiwango cha mapumziko katika mawasiliano.
 
'''Mgusano wa Kimwilikimwili.''' Kusalimiana kwa mikono, kugusana, kushikana, kukumbatiana, kusukumana, au kupiga kikofi mgongoni, haya yote huwasilisha ujumbe. Huwa yanaashiria urafiki au hisia za (au ukosefu wa) mvuto.
 
'''Mgusano wa Kimwili.''' Kusalimiana kwa mikono, kugusana, kushikana, kukumbatiana, kusukumana, au kupiga kikofi mgongoni, haya yote huwasilisha ujumbe. Huwa yanaashiria urafiki au hisia za (au ukosefu wa) mvuto.
 
 
'''Sifa Badilifu'''
 
 
'''Ishara za Uso.''' Tabasamu, kukunja uso, kuinua nyusi, piga miayo, na kukenua, hivi vyote huwasilisha habari. Ishara za uso hubadilika mara kwa mara wakati wa mawasiliano na hufuatiliwa sana na mpokeaji. Kuna ushahidi kuwa maana ya ishara hizo inaweza kuwa sawa katika tamaduni mbalimbali.
 
 
'''Ishara.''' Mojawapo ya ishara zinazotumiwa, lakini zisizoeleweka, ni vidokezo katika mwondoko wa mkono. Watu wengi hutumia miondoko ya mkono mara kwa mara wakati wanapoongea. Wakati baadhi ya ishara (mfano, kukunja ngumi) zina maana bia, nyingi za ishara huwa kila mtu anajifunza kibinafsi na zina upekee.
 
 
'''Kutazama.''' Kipengele kikubwa cha mawasiliano ya kijamii ni kutazamana macho. Kipengele hiki kinaweza kuwasilisha hisia, ashiria wakati wa kuzungumza au kuwacha kuzungumza, au chuki. Marudio ya kutazamana yanaweza kuonyesha aidha shauku au kuchoka.
 
=== Mawasiliano ya Kutazama ===
[[Mawasiliano ya kutazama]], kama jina linavyopendekezalinavyodokeza, ni mawasiliano kwa njia ya vielelezo. Ni kupitisha wa mawazo na habari katika aina ambazo zinaweza kusomwa au kutazamwa. Kimsingi yanahusishwa na vipimo vya aina [[mbili]] , na yanahusisha: [[ishara]], tipagrafia[[tipografia]], kuchora[[uchoraji]], miundo ya kigrafikigrafia, mchoro,]] rangi na rasilimali za kielektroniki. Mawasiliano haya hutegemea tu kutazama. Ni aina ya mawasiliano iliyo na athari za kuona. Imejengwa kwenye wazo kwamba ujumbe unaoonekana ukiunganishwa na maandishi huwa na uwezo mkubwa wa kutaarifu, kuelimisha au [[kumshawishi]] mtu. Ni mawasiliano kwa kuwasilisha taarifa kupitia vielelezo.
 
Tathmini ya muundo mzuri wa kutazamwa hujikita kwenye kupima ufahamu na watazamaji, na wala siyo kwenye ujumi au upendeleo wa kisanii. Hakuna-kanuni bia za uzuri na ubaya. Kuna njia mbalimbali za kuwasilisha taarifa kwa kutazama, kama vile [[kutumia ishara,]] miondoko ya kimwili, video na TV. Hapa, lengo liko kwenye kuwasilisha matini, picha, michoro, na kadhalika, zikiunganishwa kwenye maonyesho ya tarakilishi. Dhana wasilisho la kutazama hutumiwa kurejelea uwasilishaji halisi wa taarifa. Utafiti wa hivi karibuni katika sehemu hii umelenga [[miundo ya tovuti]] na matumizi ya grafiti. [[Waundaji wa grafiti]] hutumia mbinu za mawasiliano ya kutazama katika kazi yao.
Line 96 ⟶ 88:
* [[Mawasiliano ya grafiki]]
* [[Mawasiliano yasiyo na ukatili]]
* [[Mawasiliano ya mdomo]]e
* [[Mawasiliano ya sayansi]]
* [[Mawasiliano ya kimkakati]]
Line 103 ⟶ 95:
* [[Mawasiliano ya kiununuzi]]
 
== Mawasiliano ya Mdomomdomo ==
Mawasiliano kwaya mdomo ni mchakato ambapo habari hupitishwa kutoka kwa msemaji hadi kwa msikilizaji kupitia kwa mdomo, lakini vielelezo vinaweza kutumiwa kusaidia katika mchakato huu. Msikilizaji anaweza kuwa mtu mmoja, kikundi au hata hadhira. Kuna aina chache za mawasiliano ya mdomo: majadiliano, hotuba, mawasilisho, nkn.k. Hata hivyo, mara nyingi wakati unawasiliana ana kwa ana [[miondoko]] ya [[mwili]] na toni ya sauti yako huwa na athari kubwa kuliko maneno halisi unayoyasema. Kulingana na utafiti fulani:wa hapo juu unaweza kuona kwamba maudhui au neno unalolitumia silo litakaloamua sehemu ya mawasiliano mazuri. "Jinsi unavyowasilisha ujumbe" huwa na athari kubwa kwa msikilizaji. Ni lazima unase umakini wa hadhira na uhusiane nao. Kwa mfano, watu wawili wanaosema kichekesho, mmoja wao anaweza kuifanya hadhira kuangua kicheko kutokana na miondoko mizuri ya kimwili na toni ya sauti. Hata hivyo, mtu wa pili anayewasilisha kichekesho kile kwa maneno yale yale anaweza kuifanya hadhira itazamane.
 
:55% ya athari hulingana na miondoko ya mwili. Kwa mfano: mkao, ishara, mawasiliano kwa macho, nk.
:38% hulingana na toni ya sauti yako
:7% hulingana na maudhui ya maneno yako katika mchakato wa mawasiliano.
 
Unaweza kuona kwamba maudhui au neno unalolitumia silo litakalo amua sehemu ya mawasiliano mazuri. "Jinsi unavyowasilisha ujumbe" huwa na athari kubwa kwa msikilizaji. Ni lazima unase makini ya hadhira na uhusiane na wao. Kwa mfano, watu wawili wanaosema kichekesho, mmoja wao anaweza kuifanya hadhira kuangua kicheko kutokana na miondoko mizuri ya kimwili na toni ya sauti. Hata hivyo, mtu wa pili anayewasilisha kichekesho kile kwa maneno yale yale anaweza kuifanya hadhira itazamane.
 
Katika mawasiliano ya mdomo, inawezekana kutumia vielelezo ili kukusaidia kuwasilisha habari kwa usahihi zaidi. Mara nyingi, tunaweza kutumia [['PowerPoint']] katika mawasilisho yanayohusiana na hotuba zetu ili kuwezesha au kuboresha mchakato wa mawasiliano. Ingawa, hatuwezi kuwasiliana kwa kutumia vielelezo tu kwa sababu sisi hatutakuwa tukizungumza kuhusu mawasiliano ya mdomo tena.
Line 130 ⟶ 116:
Nadharia za [[urekebishaji-pamoja]] huelezea mawasiliano kama mchakato wa ubunifu na unaobadilika badilika, unaoendelea wala si kubadilishana tu kwa habari. Mwanataaluma wa vyombo vya habari kutoka Kanada [[Innis Harold]] alikuwa na nadharia kwamba watu hutumia njia mbalimbali kuwasiliana na njia watakayochagua kutumia itawapa uwezekano tofauti wa kuumba na kudumisha jamii (Wark, McKenzie 1997). Mfano wake maarufu wa kufafanua haya ni kutumia [[Misri ya kale]] na kuangalia vile wao walijijenga wenyewe nje ya vyombo vya habari kwa aina tofauti za mawe na mafunjo. Mafunjo ndiyo aliyoyaita ''''Kufunga Nafasi (Space Binding)'.''' Kufunga huku kuliwezesha kupitishwa kwa maandishi kutoka sehemu moja hadi nyingine na kuwezesha kufanyika kwa kampeni za kijeshi za mbali na utawala wa kikoloni. Mengine ni jiwe na ''''Kufunga Wakati (Time Binding)',''' kupitia ujenzi wa mahekalu na piramidi, wanaweza kuendeleza mamlaka yao kizazi hadi kizazi, kwa kupitia njia hii ya kupitisha habari, wanaweza kubadilika na kuumba ya mawasiliano katika jamii yao (Wark, McKenzie 1997).
 
[[Krishi Vigyan Kendra Kannur]] chini yawa [[Chuo Kikuu cha Kilimo cha Kerala]] amebuni tawi jipya la mawasiliano ya kilimo linaloitwa [[Upanuzi kwa Ubunifu]] (Creative Extension).]]
 
== Bila mawasiliano ya watu ==
Mawasiliano katika mingi ya mitazamo yake hayajajifungia tu kwa [[binadamu]], au hata kwa [[sokwe.]] Kila [[mabadilishano ya habari]] kati viumbe vilivyo hai - yaani kubalishana kwa [[ishara]] kunakohusiha mtumaji na mpokeaji walio hai - kunaweza kuchukuliwa kama njia ya mawasiliano. Kwa hivyo, kuna uwanja mpana wa [[mawasiliano ya wanyama,]] ambayo yanahusisha mengi ya masuala katika [[ethnolojia.]] Pia wanyama waasili kama mwamba tumbawe wanaweza kuwasiliana. <ref> Witzany G, Madl P. (2009). Biocommunication of corals. International Journal of Integrative Biology 5 (3): 152-163.</ref> Katika ngazi ya kimsingi zaidi, kuna [[kupatiana ishara kati ya seli, mawasiliano ya seli,]] na mawasiliano ya kemikali kati ya viumbe asili kama [[bakteria,]] <ref> Witzany G (2008). Bio-Communication of Bacteria and their Evolutionary Roots in Natural Genome Editing Competences of Viruses. Open Evolution Journal 2: 44-54.</ref> na miongoni mwa [[mimea]] na [[himaya za kuvu]]. Michakato hii yote ya mawasiliano huhusisha mitagusani inayoshirikisha ishara zilizo na ratibu bainifu mbalimbali.
 
[[Mawasiliano ya wanyama]] ni [[tabia]] yoyote kwa upande wa mnyama mmoja iliyo na athari ya sasa au baadaye kwenye tabia ya mnyama mwingine. Bila shaka, mawasiliano ya binadamu yanaweza kujumlishwa kama mawasiliano ya wanyama yaliyoendelezwa. Utafiti wa mawasiliano ya wanyama, uitwao ''[[zoosemiotiki]] (zoosemiotics), '''(tofauti na [[athroposemiotikianthroposemiotiki]] (anthroposemiotics),]] utafiti wa mawasiliano ya binadamu) umechangia pakubwa katika ukuzaji wa [[etholojia]], [[biolojia-jamii]] na masomo ya [[uwezo wa mnyama wa kutambua]].

Jambo hili ni dhahiri kwani binadamu huwa wanaweza kuwasiliana na wanyama, hasa [[pomboo]] na wanyama wengine ambao hutumika katika [[sarakasi]]. Hata hivyo, hawa wanyama hulazimika kujifunza njia za kipekee za mawasiliano. Mawasiliano ya wanyama, na haswa kuelewa ulimwengu wa mnyama kwa ujumla, ni [[taaluma]] inayokua kwa kasi, na hata katika [[karne ya 21]] kufikia sasa, uelewa mwingi wa hapo awali kuhusiana na nyanja mbalimbali kama vile matumizi ya kiishara ya [[jina]], [[hisia za wanyama]], [[utamaduni na kujifunza kwa wanyama|hisia za wanyama]], utamaduni na [[kujifunza]] kwa wanyama]], na hata [[tabia za kingono],], zilizofikiriwa kwa muda mrefu kuwa zimeeleweka vizuri, zibadilikazimebadilika pakubwa.
 
=== Mimea na kuvu ===
Miongoni mwa [[mimea]], mawasiliano huonekana ndani ya mmea wenyewe , yaani, ndani ya na kati ya [[seli za mimea]], kati ya mimea ya [[spishi]] moja au spishi zinazohusiana, na kati ya mimea na viumbe visivyohaivisivyo hai, hasa katika sehemu ya mizizi. [[Mizizi ya mimea]] huwasiliana na [[bakteria za rhizobia]], na [[kuvu]] pamoja na [[wadudu]] walio kwenye [[ardhi.]]. Mitagusano hii sambamba inayohusisha ishara na inayoongozwa na kanuni za kisintaksia, kipragmatiki na kisemantiki hutokea kwa sababu ya "[[mfumo wa neva]]" wa mimea uliogatuka.

Maana asilia ya neno nyuro katika [[Kigiriki]] ni "nyuzinyuzi za mboga" na kama utafiti wa hivi karibuni unavyoonyesha, mengi ya mawasiliano ya ndani ya mmea hufanana na ya [[nyuro.]] <ref>{{cite book |last1=Baluska |first1=F. |last2=Marcuso |first2=Stefano |last3=Volkmann |first3=Dieter |title=Communication in plants: neuronal aspects of plant life |url=http://books.google.com/books?id=IH9N4SKWTokC&pg=PA19&dq=plant+communication+processes+are+neuronal-like#v=onepage&q=plant%20communication%20processes%20are%20neuron-like&f=false |page=19 |year=2006 |publisher=Taylor & Francis US |isbn=3540284758 |quote=...the emergence of plant neurobiology as the most recent area of plant sciences.}}</ref> Mimea pia kuwasiliana kupitia kwa [[mivuke]] katika kisa cha tabia za wakati wa mashambulizi na wanyama wala mimea, ili kuonya mimea jirani. Sambamba na hayo, mimea hiyo hutoa mivuke ya kuvivutia [[vimelea]] ambavyo huwashambulia wale wanyama. Katika [[hali ya dhiki]] mimea inaweza kubadilisha [[kodi ya kinasaba]] iliyorithi kutoka kwa wazazi wao na kurudi kwa ile ya mababu zao. <ref> Witzany, G. (2006 Plant Communication from Biosemiotic Perspective. Plant Signaling na Behavior 1 (4): 169-178.</ref>
 
[[Kuvu]] huwasiliana ili kuratibu na kupanga ukuaji wao wenyewe na maendeleo yao kama vile malezi ya [[seli zake]] na [[sehemu za kuota.]]. Aidha, kuvu huwasiliana spishi zinazofanana au kuhusiana pamoja na spishi zisizokuvu katika mitagusano ya kimfaano, haswa na bakteria, 'unicellular eukaryotes' , mimea na wadudu. Kemikali za kisemiotiki zinazotumiwa huwa za asili ya kibayotiki na hufanya kuvu kuonyesha athari maalum, ambapo, katika tofauti wakati hata huo kemikali za molekuli huwa si sehemu ya ujumbe wa biotiki unaosababisha msisimko wa viumbe-kuvu. Ina maana kuwa, kuvu zinaweza kutambua tofauti katika molekuli ambazo ni sehemu ya ujumbe wa kibayotiki au kutokuwepo kwa sifa hizi. Hadi sasa kuna [[molekuli]] tano tofauti na za msingi zinazojulikana ambazo huratibisha ruwaza tofauti za kitabia kama vile [['nyuzi za hisia', kuzaana,]] ukuaji, [[usababishaji wa magonjwa.]] Uratibu wa tabia na uzalishaji wa vitu kama hivi unaweza tu kufikiwa kupitia michakato fasili: ya kibinafsi au isiyo ya kibinafsi, kiashiria cha kibayotikikibiotiki, ujumbe wa kibayotikikibiotiki kutoka kwa spishi zinazofanana, zinazohusiana au zisizohusiana, au hata "kelele", yaani, molekuli zinazofanana lakini hazina ujumbe wa kibayotikikibiotiki. <ref> Witzany, G. (2007 Applied Biosemiotics: Fungal meddelande. Katika: Witzany, G. (Ed). Biosemiotics in Transdisciplinary Contexts. Helsingfors, Umweb, uk. 295-301.</ref>
 
== Mawasiliano kama taaluma ya kiakademia ==