Tofauti kati ya marekesbisho "Elimu"

48 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
'''Elimu''' kwa [[maana]] pana ni [[tendo]] au uzoefu wenye [[athari]] ya kujenga [[akili]], [[tabia]] ama [[uwezo]] wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika [[dhana]] ya ki[[ufundi]], elimu ni [[njia]] ambayo hutumiwa ma[[kusudi]] na jamii kupitisha [[maarifa]], [[ujuzi]] na [[maadili]] kutoka kwa [[kizazi]] kimoja hadi kingine.
 
[[Walimu]] katika [[taasisi]] za elimu huratibisha elimu ya [[wanafunzi]] wao kupitia masomo kama vile ya kuandika, kusoma, kuhesabu ([[hesabuhisabati]] au hisabati), [[sayansi]] na [[historia]]. [[Mbinu]] hii wakati mwingine huitwa masomo haswa tunaporejelea [[somo]] la aina fulani, kwa kawaida mbinu hii hutumiwa na ma[[profesa]] katika taasisi za masomo ya juu.
 
Kuna [[elimu maalumu]] kwa wale wanaohitaji ujuzi wa kitaaluma, kama vile wale wanaohitaji kuwa [[rubani|marubani]]. Juu ya hayo, kuna nafasi nyingi za elimu katika viwango vingine visivyo rasmi kama vile [[Makumbusho|majumba ya ukumbusho]], [[maktaba]] pamoja na [[mtandao]] na [[tajriba]] za [[maisha]].
[[File:Distributed Intelligent Systems Department laboratory.jpg|thumb|Wanachuo katika maabara, [[Saint Petersburg State Polytechnical University]], [[Urusi]]]]
[[Haki ya kusoma]] imeweza kuelezwa kuwa [[haki ya msingi ya binadamu]] katika [[kifungu]] cha pili cha [[itifaki]] ya kwanza ya maagano ya [[haki za binadamu]] barani [[Ulaya]] kuanzia mwaka wa [[1952]] ambapo wanachama wote wanashurutishwa kuhakikisha [[elimu kwa wote]]. Katika kiwango cha kimataifa, Mapatano ya [[Umoja wa Mataifa]] ya haki za [[Uchumi|kiuchumi]], za [[Jamii|kijamii]] na za [[Utamaduni|kiutamaduni]] katika mwaka wa [[1966]] yanahakikisha haki hii katika kifungu cha 13.
 
== Mifumo ya elimu rasmi ==
'''Elimu''' ni dhana inayorejelea namna ambayo wanafunzi wanaweza kujifunza kitu:
 
* '''Mwongozo''' unarejelea urahisishaji wa somo na hulenga kutambua shabaha zilizobuniwa na mwalimu au mbinu zingine za kufunza.
* '''Kufunza''' kunarejeleahunarejelea matendo halisi ya mwalimu yanayonuia kupasha elimu kwa wanafunzi.
* '''Kujifunza''' hurejelea masomo yenye mtazamo unaolenga kuwapa wanafunzi elimu, ujuzi na uwezo unaoweza kutumika punde tu wakamilishapo kipindi cha masomo.
 
=== Elimu ya msingi ===
Kwa wanafunzi au wagenzi na walimu au waelekezi, kuwekwa pamoja kwa mbinu hizi mara nyingi huongeza fanaka, matarajio na matokeo ya elimu. Hili huafikiwa kwa kutoa elimu inayooana na taswira zao za asili, mazoea na mitiazamo yao ya ulimwengu. Kwa wanafunzi na walimu wasio wa asili, elimu ya aina hii ina athari ya kuongeza ufahamu wa tamaduni zao za kibinafsi na mazoea ya jumla ya umma na watu wanaowazunguka, hivyo basi kukuza heshima na kuthamini tamaduni za wanajamii hizo.
 
Katika elimu na mafunzo, kujumuishwa kwa maarifa ya kiasili, tamaduni, maono, mitazamo na dhana katika mitaala, vifaa vya kuelekeza na vitabu vya kozi vina athari kubwa kama ile ya kujumuisha mbinu za asili katika elimu ambayo hunufaisha walimu na wanafunzi katika usambamba wa masomo, kufaulu na matokeo ya masomo hayo. Ambayo hunufaisha walimu na wanafunzi katika usambamba wa masomo, kufaulu na matokeo ya masomo hayo. Walimu na wanafunzi wa kisasa wana heshima, hamasa na maridhio kwa jamii na watu wa kienyeji kutokana na elimu husishi wanayopata.<ref>[18] ^Tazama kwa ujumla R.A Malatest na wenzake . ''Best Practices katika Kuongeza Aboriginal Post-sekondari Enrollment Rates'' (Kanada: Baraza la Mawaziri wa Elimu, Kanada, 2002) na Dr Pamela Toulouse, ''Kusaidia Aboriginal Student Success: Self-Esteem na Identity, A Hai Mafundisho strategin'' (Presentation mikononi katika Utafiti wa Elimu Ontario 2007 Kongamano) [http://www.edu.gov.on.ca/eng/research/toulouse.pdf ]</ref>
 
Mfano mkuu unaoonyesha mbinu na maudhui ya asili yanaweza kukuza matokeo yaliyotajwa hapo juu undhihirika katika elimu ya juu nchini Kanada. Kwa sababu ya sheria fulani, dhamira ya kuongeza mafanikio kwa wanafunzi wa elimu asili na kukuza maadili ya jamii ya kitamanduni, kuingizwa kwa mbinu na maudhui ya asili katika elimu huonwa kuwa jukumu na wajibu wa serikali na taasisi za elimu zenye mamlaka.<ref>Katika mkoa wa Manitoba nchini Kanada kwa mfano, juhudi za pamoja kati ya serikali na taasisi za elimu (vyuo na vyuo vikuu) kumesababisha utekelezaji wa programu 13 za Access. Programu hizi hutilia maanani mbinu na maudhui ya kale katika upokezi wa elimu ya juu; na pia huwapa wanafunzi misaada mbalimbali ya tamaduni nyeti (kama vile wazee na washauri) ili kuzidisha mafanikio katika elimu ya juu. Watetezi wa programu hizi mara nyingi husisitiza kuwa kati ya miaka ya 2001/2002 na 2005/2006 (data iliyopatikana ya hivi karibuni) jumla ya wanafunzi 800 walihitimu kutoka kwa programu hizi na vyeti na asilimia 70.8 ya wanafunzi waliojiandikisha katika miaka hii walikuwa wa usuli wa asili. Takwimu hizi zimetolewa kutoka kur. 141-143 za ''Manitoba '' ''Council on Post-Secondary Education Statistical Compendium for the Academic Years Ending in 2006'' [http://web.archive.org/web/20080923190414/http://www.copse.mb.ca/en/documents/compendium2007/chapter_5.pdf] halmashauri ya Manitoba kuhusu elimu ya juu. Kulingana na watetezi hawa, kuwekwa pamoja kwa mitindo asili ya elimu ndani ya programu hizo zinazolenga wanafunzi asili, ni kipengele muhimu kinachochangia kukamilika kwa elimu ya juu ya wanafunzi asili waliokisiwa kuwa 566 ambao hawangetarajiwa kuhitimu kiwango hiki cha mafanikio.</ref>
 
=== Kujifunza ===
Kujifunza ni kutaka kujua/kuelewa kuhusu/juu ya jambo fulani ambalo haukuwa ukilijuahukulijua kabla. Hata jambo zuri kuhusu kujifunza ni kwamba hakuna mtu/mwanadamu yeyote mwenye uwezo wa kukiweka mbali nawe kitu hicho ambacho umejifunza.
 
Walimu wanapaswa kuelewa somo vilivyo ili kuwasilisha umuhimu wake kwa wanafunzi. Shabaha hapa ni kuunda misingi ya ujuzi kamili ambayo wanafunzi wanaweza kutumia kujijenga zaidi kwani wamewekwa wazi kwa matukio mbalimbali ya maisha. Walimu wazuri huweza kutafsiri habari kama hukadiria vizuri, hutumia mazoea na hekima hadi kwa elimu husika ambayo mwanafunzi anaweza kuelewa, kuhifadhi na kupititishia wengine.
 
Utafiti kutoka Marekani unatoa maoni kuwa ubora wa walimu ndio kigezo kinachoathiri mafanikio ya wanafunzi, na kuwa nchi zinazopata alama za juu katika [[mtihani]] au majaribio ya kimataifa zimeweka sera chungu nzima zinazohakikisha kuwa walimu wanaoajiriwa ndio bora. <ref name="WRS"> [http://www.mckinsey.com/clientservice/socialsector/resources/pdf/Worlds_School_Systems_Final.pdf / Jinsi duniani mifumo shule bora hutoka topg]</ref>
 
=== Teknolojia ===
Teknolojia inatumiwa sio tu katika wajibu wa kutawala katika elimu bali pia katika kuwaelekeza wanafunzi. Matumizi ya teknolojia kama vile virusha maandishi (power point) na ubao mweupe hutumiwa kunasa akili za wanafunzi darasani. Teknolojia vilevile hutumiwa kuwatahini wanafunzi. Mfano mzuri ni mfumo wa kuvutia hadhira (ARS),ambao huruhusu majibu ya mitihani moja kwa moja pamoja na majadiliano darasani.
 
[[Teknolojia za habari na mawasiliano]] (ICT) ni "seti ya vifaa na rasilimali mbalimbali zinazotumiwa kuwasiliana, kuunda, kueneza na kuongoza habari."<ref>{{cite web | last = Blurton | first = Craig|title = New Directions of ICT-Use in Education| url=http://www.unesco.org/education/educprog/lwf/dl/edict.pdf |accessdate = 2007-02-06|format=PDF}}</ref> Teknolojia hizi ni pamoja na kompyuta, mtandao, teknolojia za kusambaza habari (redio na televisheni) na simu. Kuna mvuto unaoongezeka kuhusu namna tarakilishi na mtandao zinavyoweza kuimarisha elimu katika viwango vyote, yaani mseto wa elimu rasmi na ile isiyo rasmi.<ref> [[b:ICT in Education|IKT katika Elimu]]</ref>
 
Teknolojia za habari na mawasiliano za awali, kama vile [[redio]] na [[televisheni]], zimetumiwa kwa zaidi ya miaka 40 kwa elimu wazi na ile ya mbali, hata hivyo kupiga chapa ndiyo njia nafuu zaidi, inapatikana kwa urahisi, na hivyo basi ni mbinu iliyotawala katika nchi zilizoendelea na zile zinazoendelea.<ref>{{cite web | last = Potashnik, M. and Capper, J. | title = Distance Education:Growth and Diversity | url=http://www.worldbank.org/fandd/english/pdfs/0398/0110398.pdf| accessdate = 2007-02-06|format=PDF|archiveurl=http://web.archive.org/web/20000919132928/http://www.worldbank.org/fandd/english/pdfs/0398/0110398.pdf|archivedate=2000-09-19}}</ref>
 
Matumizi ya tarakilishi na mtandao bado ni changa (ikiwa vinatumika) bado ni changa katika [[nchi zinazoendelea]], na hii ni kwa sababu miundo msingi ni michache na ghali. Kwa kawaida teknolojia kadhaa hutumiwa kwa pamoja bali siyosi mbinu moja pekee ya kupokelewa. Kwa mfano, Kothmel Community Radio Internet hutumia matangazo ya redio na kompyuta pamoja na teknolojia ya mtandao, na hivyo hurahisisha kugawa habari na kutoa nafasi za elimu katika [[kijiji]] fulani kule [[Sri Lanka]].<ref>{{cite web | last = Taghioff | first = Daniel | title = Seeds of Consensus—The Potential Role for Information and Communication Technologies in Development. |url=http://www.btinternet.com/~daniel.taghioff/index.html |archiveurl=http://web.archive.org/web/20031012140402/http://www.btinternet.com/~daniel.taghioff/index.html |archivedate=2003-10-12 | accessdate = 2003-10-12}}</ref>
 
[[Chuo kikuuKikuu cha Uingereza]] (UKOU) kilichoanzishwa mwaka wa 1969 kama taasisi ya elimu ya kwanza ulimwenguni kujitolea kutoa elimu ya wazi na ya mbali, bado hutegemea vifaa vilivyopigwa chapa na kuongezea redio, runinga na hivi majuzi programu zilizounganishwa na kompyuta.<ref> [http://www.open.ac.uk Open University wa Uingereza] Official website</ref> Vivyo hivyo, Chuo Kikuu cha Indira Gandhi nchini [[India]] huweka pamoja matumizi ya chapa, sauti zilizorekodiwa, video, redio, televisheni na teknolojia ya vielezo vya kusikiza mkutano.<ref> [http://www.ignou.ac.in Indira Gandhi Taifa Open University] Official website</ref>
 
Dhana ya “masomo yanayosaidiwa kwa Kompyuta”kompyuta” (CAL) limetumiwa kwa wingi kuelezea teknolojia katika masomo.
 
== Nadharia ya elimu ==
Nadharia ya elimu ni nadharia ya azma, mataumizimatumizi na ufafanuzi wa elimu na kusoma. Historia yake inatokana na wataalamu wa elimu kutoka [[Ugiriki]] kuanzia [[karne ya 18]]. Katika karne ya 20 mbinu za kusoma zimetumia nadharia katika kufunza, kutathmini na katika sheria za elimu ambazo hupatikana katika vitengo mbalimbali kama ifuatavyo:
 
== Uchumi ==
Sababu zimetolewa kuwa kiasi cha juu cha elimu ni muhimu kwa nchi kwa ajili ya kuwezesha ukuaji haraka wa uchumi.<ref> Hanushek, Uchumi Matokeo na Shule ya Quality </ref> Uchunguzi unaotegemea nadharia huunga mkono nadharia za kutabiri kuwa nchi masikini zinapaswa kukua haraka kuliko nchi tajiri kwani nchi hizi zinaweza kutumia teknolojia mpya kabisa ambayo imeshajaribiwa na nchi tajiri. Hata hivyo, kuhamisha teknolojia kunahitaji viongozi wenye maarifa na wahandisi wenye uwezo wa kutumia mashine mpya ama mazoezi ya uzalishaji yaliyokopwa ili kuziba mpaka kwa miigo. Hivyo basi, uwezo wa nchi wa kujifunza kutoka kwa nchi kiongozi ni jukumu la wafanyakazi wa nchi hiyo.<ref> UCLA Economics Qur'ani 183 kutoka Profesa Boustan</ref> Utafiti wa hivi karibuni wa vitambulishi vya kujumuisha ukuaji wa kiuchumi umesisitiza umuhimu wa vyuo asili vya uchumi<ref> Daron Acemoglu, Simon Johnson, na James A. Robinson, "The kikoloni Chimbuko la Comparative Maendeleo: An Empirical Investigation." ''American Economic Review'' 91, no.5 (Desemba 2001) :1369-1401.</ref> na majukumu ya ujuzi tambuzi.<ref> Eric A. Hanushek, na Ludger Woessmann, "Jukumu la cognitive ujuzi katika maendeleo ya kiuchumi." ''Journal of Economic Literature'' 46, no.3 (Septemba 2008) :607-608.</ref>
 
Katika kiwango cha mtu binafsi, kuna maandishi yenye uhusiano na kazi ya [[Jacob Mincer]], <ref> Yakobo Mincer, "Mgawanyo wa kazi kipato: utafiti na kumbukumbu maalumu kwa mtaji mbinu." ''Journal of Economic Fasihi'' 8, no.1 (Machi 1970) :1-26.</ref> ya jinsi mapato yanahusiana na elimu na rasilimali ya mtu binafsi. Kazi hii imetia motisha idadi kubwa ya utafiti lakini pia inaelekea kuleta mabishano kwa kiasi fulani. Ubishi mkubwa unazunguka jinsi ya kufasiri matokeo ya kusoma.<ref> Angalia, kwa mfano, Daudi Kadi, "Causal elimu juu ya athari za mapato," katika ''uchumi Handbook wa kazi,'' mwisho na Ashenfelter na Daudi Orley Card. Amsterdam: Kaskazini-Holland, 1999:1801-1863; James J. Heckman, Lance J. Lochner, na Petra E. Todd., "Earnings utendaji, viwango vya tiba kurudi na madhara: The Mincer equation na nje," katika ''Handbook ya ya Uchumi wa Elimu,'' mwisho na Eric A. Hanushek na Finis Welch. Amsterdam: Kaskazini Holland, 2006:307-458.</ref>
 
WataalamWataalamu wa uchumi [[Samwel Bowels]] na [[Herbert Ginits]] walitoa maoni kwamba kulikuwa na ubishi asili katika elimu nchini Marekani kati ya shabaha ya kidemokrasia[[demokrasia shirikishi]] yenye [[usawa]] na faida ya mapato ya kikapitolistikibepari yaliyodokeza hali ya kutokuwa na usawa.<ref> Samuel Bowles na Herbert Gintis, ''Elimu katika kibepari Marekani: Educational Mageuzi na utata wa Kiuchumi Life'' (Basic Books, 1976) </ref>
 
== Historia ya elimu ==
[[Picha:Laurentius de Voltolina 001.jpg|left|thumb|Mchoro wa [[Chuo Kikuu cha Bologna]], [[Italia]]]]
[[Historia ya elimu]] kulingana na [[Dieter Lenzen]], rais wa Freie Universitat Berlin mwaka wa 1994, "ilianza miaka mingi iliyopita ama mwishoni wa mwaka wa 1770". Elimu kama sayansi haiwezi kutengwa na tamaduni za elimu iliyokuwepo awali. Wakubwa waliwafunza wadogo wao juu ya jamii kwa kutumia maarifa na ujuzi waliohitaji kufahamu na mwishowe kupitisha. Mabadiliko ya tamaduni na binadamu kama spishi kulitegemea mazoea ya kupitisha elimu. Katika jamii ambazo hazikujua kusoma, hili liliafikiwa kupitia kwa mdomo na kuiga. Kusimuliana hadithi kuliendelezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Lugha ya mazungumzo iliendelea na kuwa ishara na herufi. Kina na upana wa elimu au maarifa ulioweza kuhifadhiwa na kupitishwa uliongezeka zaidi. Wakati ambapo tamaduni zilianza kupanua elimu zaidi ya ujuzi wa kawaida wa mawasiliano, biashara, kukusanya chakula, desturi za kidini na kadhalika, elimu rasmi na kupata kisomo mwishowe kulifuatia. Kisomo kwa maana hii kilikuwa kimeshaanza nchini [[Misri]] kati ya [[3000 KK|3000]] na [[500 Kabla Kristo (BC)KK]].
 
Siku hizi aina fulani ya elimu ni jambo la lazima kwa watu wote katika nchi nyingi. Kwa sababu ya ongozeko la watu na kuenea kwa [[elimu ya lazima]], Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa ([[UNESCO]]) limepiga hesabu ya kwamba miaka 30 ijayo, watu wengi zaidi ulimwenguni watapata elimu rasmi katika historia ya binadamu ulimwenguni.<ref> Robinson, K.: ''[http://www.ted.com/talks/ken_robinson_says_schools_kill_creativity.html Shule Kill Creation.]'' TED Talks, 2006, Monterrey, CA, USA.</ref>
 
== Falsafa ya elimu ==
[[Picha:LockeEducation1693.jpg|right|thumb|[[Kitabu]] cha [[John Locke]] "Baadhi ya Mawazo Kuhusu Elimu" kilikuwa kimeandikwa mwaka [[1693]] na bado elimu ya jadi huonyesha vipaumbele katika dunia ya Magharibi.]]
[[Falsafa]] ya elimu]] ni utafiti wa kifalsafa juu ya kusudi, utaratibu na ubora wa elimu. [[Falsafa]] ya elimu kwa kawaida huonwa kama tawi la falsafa na elimu. Falsafa ya elimu mara nyingi huhifadhiwa ndani ya falsafa na elimu ilhali ni [[:en:Philosophy#Applied philosophy|falsafa matumizi]], iliyotokana na nyanja za zamani za falsafa ([[ontolojia]],elimu adili[[maadili]], [[epistemolojia]]) na njia ([[:en:Speculative philosophy|kisia]], taswira na tafiti) mbinu na mtaala, [[nadharia]], kwa kutaja tu chache.
 
== Saikolojia ya elimu ==
[[Picha:FinnGerberBoydZaharias2005.png|left|thumb|A darasa kawaida majaribio katika fann Marekani kuhudhuria madarasa ndogo kwa miaka 3 au zaidi katika darasa mapema iliongezeka high shule viwango vya kuhitimu wanafunzi kutoka familia zenye kipato cha chini. <ref Name=finn> Finn, JD, Gerber, SB, Boyd - Zaharias, J. (2005). Small madarasa katika darasa mapema, mafanikio ya kielimu, na kufuzu kutoka high school. Journal of Educational Psychology, 97, 214-233. </ref>]]
 
[[Saikolojia ya elimu]] ni uchunguzi wa jinsi watu hujifunzihujifunza katika mandhari ya elimu, ufaafu wa maingiliano ya elimu, saikolojisaikolojia ya kufunza na saikolojia jamii za shule. Ingawa maneno “saikolojia ya kielimu” na “saikolojia ya shule“ mara nyingi hutumiwa kwa kubadilishana, watafiti na wananadharia wanaweza kutambuliwa kama wanasaikolojia wa elimu, ilhali weledi wanaopatikana shuleni au mandhari yanayaoanayanayoana na shule hujulikana kama wanasaikolojia wa shule. Saikolojia ya elimu inajishughulisha na utaratibu wa kutoa elimu kwa watu na umma kwa jumla na umma mdogo, kama vile watoto wenye vipaji na wale wenye ulemavu maalum.
 
Saikolojia ya elimu inaweza kueleweka kwa sehemu kupitia masomo mengine. Saikolojia ya elimu vilevile huarifiwa na saikolojia, ikileta uhusiano baina ya [[utabibu]] na bayolojia[[biolojia]]. Saikolojia ya elimu pia huarifu masafa mapana ya masomo maalum yakiwemo mpango wa mafunzo. Teknolojia ya elimu, mtaala uliokuzwa, masomo yaliyopangwa, masomo maalummaalumu, sayansi tambuzi na sayansi masomo. Katika vyuo vikuu, idara za elimu ya saikolojia vimehifadhiwazimehifadhiwa katika vitivo vya elimu. Hii ni kwa sababu ya uwezekano wa ukosefu wa uwakilishaji wa maudhui ya saikolojia ya elimu katika utangulizi wa [[vitabu]] vya saikolojia.
 
== Sosholojia ya elimu ==
[[Sosholojia ya elimu]] ni somo linalohusu jinsi taasisi za kijamii na kani huathiri michakato na matokeo ya elimu, na kinyume chake. Kwa wengi, elimu hueleweka kama mbinu ya kushinda vizuizi, kufanikisha usawa na kupata [[amani]] na hadhi kwa wote (Sargent 1994). Wanafunzi wanaweza kutiwa motisha na tamaahamu ya maendeleo na uboreshaji. Elimu hutambuliwa kama mahali ambapo watoto huweza kujikuza kulingana na mahitaji yao ya kipekeepekee.<ref> Schofield, K. (1999). "The Malengo ya Elimu", Queensland State Elimu: 2010, [Juu] URL: www.aspa.asn.au / Papers / eqfinalc.PDF [Accessed 2002, 28 Oktoba]</ref> Jukumu la elimu lawezalinaweza kuwa ni kukuza mtu binafsi hadi kilele. Uelewa wa shabaha na mbinu za michakato ya utangamano wa kielimu hutofautiana kulingana na dhana ya sosholojia iliyotumika.
 
== Maendeleo ya Kielimuelimu ==
[[Picha:Education index UN HDR 2007 2008.PNG|thumb|300px|left|Ramani ya dunia ikionyesha Viwango vya Elimu (kulingana na Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2007/2008)]]
Katika [[nchi zinazoendelea]] idadi na uzito wa shida zilizoko kwa kawaida ni kubwa. Watu wa vijijini wakati mwingine huwa hawana habari kuhusu umuhimu wa elimu. Hata hivyo, nchi zinginenyingine zina [[wizara ya elimu]] na katika masomo mengi, kama vile kujifunza lugha za kigeni, kiwango cha elimu kimo juu zaidi kuliko ilivyo katika nchi zilizoendelea. Kwa mfano, katika nchi zinazoendelea ni kawaida kupata wanafunzi katika nchi zinazoendelea wakizungumza lugha nyingi za kigeni kwa usanifu mkubwa, ilhali jambo hili ni nadra katika [[nchi zilizoendelea]] ambapo idadi kubwa ya watu huzungumza lugha moja.
 
Vilevile kuna shinikizo la kiuchumi kutoka kwa wazazi ambao hupendelea watoto wao wapate pesa kwa muda mfupi kuliko faida za elimu ya muda mrefu. Utafiti wa hivi karibuni kuhusu ajira ya watoto na umasikini zimependekeza kuwa familia zilizokumbwa na umasikini zinapofikia kiwango fulani cha kukidhi mahitaji yao ya kimsingi, wazazi huwarejesha watoto wao shuleni. Hii imethibitshwa kuwa kweli mara tu kizingiti kinapovukwa. Hata kama uwezekano wa thamani ya kiuchumi ya ajira ya watoto inaongezeka baada yao kurudishwa shuleni.
India inakuza teknolojia na mtandao. India ilizindua EDUSAT, elimu ya setilaiti ambayo inaweza kuwafikia wengi kwa gharama ya chini. Kuna pia mpango ulioanzishwa na shirika la OLPC, kundi lililotokana na maabara ya MIT lililoungwa mkono na mashirika makuu ili kukuza kompyuta ya kupakata ambayo ingeghalimu $100, ili kuwezesha kuwasilisha elimu ya programu ya kompyuta. Kompyuta hizi zimesambaa kote kufikia mwaka wa 2009. Kompyuta hizi zinauzwa au kutolewa kama msaada. Hii itawezesha nchi zinazoendelea kuwapa watoto wao elimu kwa kutumia mitambo.
 
Barani [[Afrika]], shirika la NEPAD limezindua programu ya masomo ya mtandao inayotoa vifaa vya kompyuta na masomo ya mtandao kwa shule zote za msingi na upili kwa kipindi cha miaka kumi. Vikundi vya kibinafsibinafsi kama vile The Church Of Jesus Christ Of Latter Days Saints[[Wamormoni]], wanajikakamua kuwapa watu fursa ya kupokea elimu katika nchi zinazoendelea kupitia miradi kama vile Perpetual Educational Fund. Mradi wa maendeleo kimataifa inayofahamika kama [http://www.nabuur.com/ nabuur.com,] com iliyoanza kutokanakwa na usaidizimsaada wa raisirais wa Marekani [[Bill Clinton]], hutumia mtandao kuwezesha ushirikiano wa watu binafsi kuzungumzia maswala ya maendeleo ya jamii.
 
=== Umataifishaji ===
Elimu inaendelea kuwa jambo la kimataifa. Si vifaa vyake tu vinavyoendelea kuathiriwa na mazingira ya kimataifa yenye ukwasi bali pia mabadiliko ya wanafunzi katika viwango vyote yanayochangia kuendesha jukumu hili muhimu. Kwa mfano kule Uropa, [http://www.erasmus.ac.uk programu ya Socratis Erusmus ]imechechemua mabadilishano kati ya vyuo vikuu vya Uropa. Vile vile, [http://www.soros.org/ Shirika la Soros ]hutoa fursa nyingi kwa wanafunzi kutoka Asia ya kati na Uropa mashariki. Wasomi wengi hudai kwamba ingawa mfumo fulani unaweza kuzingatiwa kuwa bora au mbaya kuliko mwingine, kuzoea aina tofauti ya elimu mara nyingi huonwa kuwa elementi muhimu ya kuzoea masomo ya kimataifa.<ref> Dubois, HFW, Padovano, G., &amp; Stew, G. (2006) Kuboresha muuguzi kimataifa mafunzo: an American-Kiitaliano kesi masomo. ''Kimataifa Nursing Review, 53'' (2): 110-116.</ref>
 
== Dini na Elimuelimu ==
* Tazama makala kuu: [[{{Main|Elimu ya kidini]]}}
Elimu katika dini ya [[Uislamu]] ni muhimu kwa wake na waume, haswa kwa watoto wachangawadogo. Kinyume na dhana ya kawaida, kutafuta aina zote za maarifa, yawe ya kitaaluma, ya kidini au ya duniakidunia yanaruhusiwa kwa watu wa umri wowote. Hata hivyo, masomo ya umri mdogo huonwa kuipa akili fursa ya kumakinika bila kuathiriwa na shida na majukumu ya maisha ya utu uzima.<ref> Inter-Islam> ZZ> Elimu <http://www.inter-islam.org/AZ/E/E.htm#Education>.<br /></ref>
 
Elimu katika dini ya Uislamu ni muhimu kwa wake na waume, haswa kwa watoto wachanga. Kinyume na dhana ya kawaida, kutafuta aina zote za maarifa, yawe ya kitaaluma, kidini au ya dunia yanaruhusiwa kwa watu wa umri wowote. Hata hivyo, masomo ya umri mdogo huonwa kuipa akili fursa ya kumakinika bila kuathiriwa na shida na majukumu ya maisha ya utu uzima.<ref> Inter-Islam> ZZ> Elimu <http://www.inter-islam.org/AZ/E/E.htm#Education>.<br /></ref>
 
== Tazama pia ==