Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 51:
 
=== Elimu mbadala ===
[[Elimu mbadala]], ambayo pia hujulikana kama ''elimu isiyo rasmi'', ni dhana yenye maana pana na inayoweza kutumiwa kurejelea aina zote za [[elimu]] zilizo nje ya elimu ya kidesturikawaida (kwa watu wote na viwango vyote vya elimu). Hujumuisha si tu mitindo ya elimu inayokusudiwa wanafunzi wenye mahitaji ya kipekee lakini pia mitindo inayolenga hadhira ya jumla na kutumia mitindo na falsafa badala ya elimu.
 
Hujumuisha si tu mitindo ya elimu inayokusudiwa wanafunzi wenye mahitaji ya pekee lakini pia mitindo inayolenga hadhira ya jumla na kutumia mitindo na [[falsafa ya elimu|falsafa badala ya elimu]].
Elimu mbadala mara nyingi huwa ni matokeo ya mabadiliko katika elimu yaliyotokea katika misingi mbalimbali ya falsafa ambayo kwa kawaida ni tofauti na elimu ya kijadi ya lazima. Mabadiliko mengine yana misingi ya kisasa, kiutafiti au kifalsafa, ilhali mengine ni miungano isiyo rasmi kati ya walimu na wanafunzi wasioridhika na maswala fulani ya elimu hiyo ya kijadi. Elimu mbadala hii ambayo ni pamoja na shule za tabia, shule za badala, shule zinazojitegemea na masomo ya nyumbani hutofautiana pakubwa kivyao, lakini zote hutilia maanani umuhimu wa idadi ndogo ya wanafunzi darasani na mahusiano ya karibu kati ya wanafunzi na walimu vilevile husababisha hali ya umoja.
 
Elimu mbadala mara nyingi huwa ni matokeo ya mabadiliko katika elimu yaliyotokea katika misingi mbalimbali ya [[falsafa]] ambayo kwa kawaida ni tofauti na elimu ya kijadijadi ya lazima. Mabadiliko mengine yana misingi ya kisasa, kiutafiti au kifalsafa, ilhali mengine ni miungano isiyo rasmi kati ya walimu na wanafunzi wasioridhika na maswalamasuala fulani ya elimu hiyo ya kijadijadi. Elimu mbadala hii ambayo ni pamoja na shule za tabia, shule za badala, shule zinazojitegemea na masomo ya nyumbani hutofautiana pakubwa kivyao, lakini zote hutilia maanani umuhimu wa idadi ndogo ya wanafunzi darasani na mahusiano ya karibu kati ya wanafunzi na walimu vilevile husababisha hali ya umoja.
 
Elimu mbadala hii ambayo ni pamoja na shule za tabia, shule badala, shule zinazojitegemea na [[masomo ya nyumbani]] hutofautiana pakubwa, lakini zote hutilia maanani umuhimu wa [[idadi]] ndogo ya wanafunzi darasani na mahusiano ya karibu kati ya [[wanafunzi]] na [[walimu]]. Vilevile husababisha hali ya umoja.
 
=== Elimu ya asili ===