Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AF-kindergarten.jpg|thumb|Darasa la [[chekechea]] nchini [[Afghanistan]].]]
[[Picha:Inukshuk Monterrey 1.jpg|thumb|Darasa la shule ya msingi katika [[Meksiko]].]]
[[Picha:5th Floor Lecture Hall.jpg|thumb|right|Darasa la chuoni katika [[New York City]],wanafunzi wakiwa maachuo kikuu cha mt. Petersburg State Polytechnical]]
'''Elimu''' kwa [[maana]] pana ni [[tendo]] au uzoefu wenye [[athari]] ya kujenga [[akili]], [[tabia]] ama [[uwezo]] wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika [[dhana]] ya ki[[ufundi]], elimu ni [[njia]] ambayo hutumiwa ma[[kusudi]] na jamii kupitisha [[maarifa]], [[ujuzi]] na [[maadili]] kutoka kwa [[kizazi]] kimoja hadi kingine.
 
Mstari 48:
 
=== Elimu ya watu wazima ===
Elimu ya ngumbaru au ya watu wazima imekuwa kawaida katika nchi nyingi. Elimu hii huchukua maumbo mengi yakiwemo elimu rasmi darasani, elimu ya kibinafsibinafsi na [[masomo ya mtandao]]. Idadi fulani ya kozi za kazi maalum kama vile [[elimu kuhusuya mifugo]], maswalamasuala ya [[madawa]], maswala ya [[uwekezaji]], [[uhasibu]] na kozi zinginezonyinginezo kwa sasa hupatikana mtandaoni.
 
=== Elimu mbadala ===
[[Elimu mbadala]], ambayo pia hujulikana kama ''elimu isiyo rasmi'', ni dhana yenye maana pana na inayoweza kutumiwa kurejelea aina zote za [[elimu]] zilizo nje ya elimu ya kawaida (kwa watu wote na viwango vyote vya elimu).
 
Hujumuisha si tu mitindo ya elimu inayokusudiwa wanafunzi wenye mahitaji ya pekee lakini pia mitindo inayolenga hadhira ya jumla na kutumia mitindo na [[falsafa ya elimu|falsafa badala ya elimu]].