Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 128:
 
== Falsafa ya elimu ==
[[Picha:LockeEducation1693.jpg|right|thumb|[[Kitabu]] cha [[John Locke]] "Baadhi ya Mawazo Kuhusu Elimu" kilikuwa kimeandikwakiliandikwa mwaka [[1693]] na bado elimu ya jadi huonyesha vipaumbele katika duniaNchi yaza Magharibi.]]
[[Falsafa ya elimu]] ni [[utafiti]] wa kifalsafa juu ya kusudi, utaratibu na ubora wa [[elimu]]. [[Falsafa]] ya elimu kwa kawaida huonwa kama [[tawi]] la falsafa na la elimu.

Falsafa ya elimu mara nyingi huhifadhiwahubaki ndani ya falsafa na elimu, ilhali ni [[:en:Philosophy#Applied philosophy|falsafa matumizi]], iliyotokana na nyanja za zamani za falsafa ([[ontolojia]], [[maadili]], [[epistemolojia]]) na njia ([[:en:Speculative philosophy|kisia]], taswira na tafiti), mbinu na mtaala, [[nadharia]], kwa kutaja tu chache.
 
== Saikolojia ya elimu ==