Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 128:
 
== Falsafa ya elimu ==
[[Picha:LockeEducation1693.jpg|right|thumb|[[Kitabu]] cha [[John Locke]] "Baadhi ya Mawazo Kuhusu Elimu" kiliandikwa mwaka [[1693]] na bado elimu ya jadi huonyesha vipaumbelekuwa kipaumbele katika [[Nchi za Magharibi]].]]
[[Falsafa ya elimu]] ni [[utafiti]] wa kifalsafa juu ya kusudi, utaratibu na ubora wa [[elimu]]. kwa kuchunguza ufafanuzi, malengo na maana ya elimu kwa jumla au ya mtazamo mmojawapo juu yake.

[[Falsafa]] ya elimu kwa kawaida huonwa kama [[tawi]] la falsafa na la elimu.
 
Falsafa ya elimu mara nyingi hubaki ndani ya falsafa na elimu, ilhali ni [[falsafa matumizi]], iliyotokana na nyanja za zamani za falsafa ([[ontolojia]], [[maadili]], [[epistemolojia]]) na njia ([[kisia]], taswira na tafiti), mbinu na mtaala, [[nadharia]], kwa kutaja tu chache.