Tofauti kati ya marekesbisho "Elimu"

 
== Historia ya elimu ==
[[Picha:Laurentius de Voltolina 001.jpg|left|thumb|[[Mchoro]] wa [[Chuo Kikuu cha Bologna]], [[Italia]].]]
[['''Historia ya elimu]] kulingana na [[Dieter Lenzen]], rais wa Freie Universitat Berlin mwaka wa 1994,''' "ilianza miaka mingi iliyopita, amakwa mwishonikuwa wa mwaka wa 1770". Elimu[[elimu]] kama [[sayansi]] haiwezi kutengwa na tamaduni[[utamaduni]] zawowote wa elimu iliyokuwepo awali. Wakubwa waliwafunza wadogo wao juu ya [[jamii]] kwa kutumia [[maarifa]] na ujuzi waliohitaji kufahamu na mwishowe kupitisha. Mabadiliko ya tamaduni na binadamu kama spishi kulitegemea mazoea ya kupitisha elimu. Katika jamii ambazo hazikujua kusoma, hili liliafikiwa kupitia kwa mdomo na kuiga. Kusimuliana hadithi kuliendelezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Lugha ya mazungumzo iliendelea na kuwa ishara na herufi. Kina na upana wa elimu au maarifa ulioweza kuhifadhiwa na kupitishwa uliongezeka zaidi. Wakati ambapo tamaduni zilianza kupanua elimu zaidi ya ujuzi wa kawaida wa mawasiliano, biashara, kukusanya chakula, desturi za kidini na kadhalika, elimu rasmi na kupata kisomo mwishowe kulifuatia. Kisomo kwa maana hii kilikuwa kimeshaanza nchini [[Misri]] kati ya [[3000 KK|3000]] na [[500 KK]].
 
Mabadiliko ya utamaduni na [[binadamu]] kama [[spishi]] yalitegemea mazoea ya kupitisha elimu. Katika jamii ambazo hazikujua kusoma, hili liliafikiwa kupitia [[mdomo]] na kuiga. Kusimuliana [[hadithi]] kuliendelezwa kutoka [[kizazi]] kimoja hadi kingine.
Siku hizi aina fulani ya elimu ni jambo la lazima kwa watu wote katika nchi nyingi. Kwa sababu ya ongozeko la watu na kuenea kwa [[elimu ya lazima]], Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa ([[UNESCO]]) limepiga hesabu ya kwamba miaka 30 ijayo, watu wengi zaidi ulimwenguni watapata elimu rasmi katika historia ya binadamu.<ref> Robinson, K.: ''[http://www.ted.com/talks/ken_robinson_says_schools_kill_creativity.html Shule Kill Creation.]'' TED Talks, 2006, Monterrey, CA, USA.</ref>
 
[[Lugha]] ya mazungumzo iliendelea na kuwa [[ishara]] na [[herufi]]. [[Kina]] na [[upana]] wa elimu au maarifa ulioweza kuhifadhiwa na kupitishwa uliongezeka zaidi na zaidi. Wakati ambapo tamaduni zilianza kupanua elimu zaidi ya ujuzi wa kawaida wa [[mawasiliano]], [[biashara]], [[ukusanyaji chakula]], tunu na [[desturi]] za [[Dini|kidini]] na kadhalika, mwishowe [[elimu rasmi]] na masomo vilifuatia. Kisomo kwa maana hii kilikuwa kimeshaanza nchini [[Misri]] kati ya [[3000 KK|3000]] na [[500 KK]].
 
Siku hizi aina fulani ya elimu ni jambo la lazima kwa watu wote katika nchi nyingi. Kwa sababu ya ongozekoongezeko la watu na kuenea kwa [[elimu ya lazima]], Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa ([[UNESCO]]) limepiga [[hesabu]] ya kwamba miaka 30 ijayo, watu wengi zaidi ulimwenguni watapata elimu rasmi katika [[historia]] ya binadamu.<ref> Robinson, K.: ''[http://www.ted.com/talks/ken_robinson_says_schools_kill_creativity.html Shule Kill Creation.]'' TED Talks, 2006, Monterrey, CA, USA.</ref>
 
== Falsafa ya elimu ==