Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 78:
 
=== Mitindo ya kujifunza ===
Kuna utafiti uliofanyawauliofanywa kuhusu mitindo ya kusoma katika miongo miwili iliyopita. Dunn na Dunn <ref>{{cite web|url=http://www.learningstyles.net/ |title=Dunn and Dunn |publisher=Learningstyles.net |date= |accessdate=2009-04-20}}</ref> walilenga kutambua vichangamshi husishi vinavyofanya masomo yavutie na namna ya kutawala mazingira ya shule,. baadayeBaadaye Joseph RenzuliRenzulLi <ref>{{cite web|url=http://www.indiana.edu/~intell/renzulli.shtml |title=Biographer of Renzulli |publisher=Indiana.edu |date= |accessdate=2009-04-20}}</ref> alipendekeza mikikatimikAkati tofautitofauti ya kufunza. [[Howard Gardner]]<ref> [http://www.thomasarmstrong.com/multiple_intelligences.htm Thomas Armstrong's website] detailing Multiple Intelligences</ref> alitambua talanta ama vipaji vya mtu binafsi katika nadharia zake za akili nyingi. Kwa misingi ya kazi za [[Carl Gustav Jung|C. G. Jung]] “Kielezi Aina cha Myers Briggs” na “kitenga tabia cha Keisresy” <ref>{{cite web|url=http://www.keirsey.com/ |title=Keirsey web-site |publisher=Keirsey.com |date= |accessdate=2009-04-20}}</ref>vililenga kuelewa jinsi nafsi za watu huathiri uhusiano wa mtu binafsi na zinavyoathiri maelewano ya watu katika mazingira ya kujifunza. Kazi za David Kolib na Anthony Gregorc “jinsi ya kusawiri”<ref>{{cite web|url=http://www.algonquincollege.com/edtech/gened/styles.html |title=Type Delineator description |publisher=Algonquincollege.com |date= |accessdate=2009-04-20}}</ref> ” hufuata mfano kama huu lakini uliorahisishwa.
 
Kwa wakati huu, kugawika kwa elimu katika mitindo tofautitofauti hukubalika na wengi. Huenda ikawa kuwa mitindo<ref> Swassing, RH, Barbe, WB, &amp; Milone, MN (1979). ''The Swassing-Barbe''