Tofauti kati ya marekesbisho "Shahada ya Awali"

47 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
'''Digrii ya bachelor''' ni [[stashahadashahada]] ya kwanza inayotolewa kwa [[mwanafunzi]] wa [[chuo kikuu]] aliyefaulu masomo ya [[fani]] fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kutegemeana na nchi na mfumo wa [[chuo]].
 
[[Neno]] "bachelor" kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]] kimsingi linataja mtu [[Ndoa|asiyeoa]] bado lakini mwenye [[umri]] wa kutosha.
Katika nchi zinazofuata mfumo wa [[Uingereza]] ni miaka mitatu, kwenye mfumo wa [[Marekani]] ni muda wa miaka minne kutokana na tofauti katika kiwango cha [[elimu ya sekondari]].
 
Nchi nyingine hazina [[digrii]] hiyo kwa sababu kwao masomo ya chuo kikuu hupangwa kwa muda wa miaka mitano hadi [[sita]] tangu mwanzo.
 
Vyeo vinavyofuata ni [[digrii ya master[[uzamili]] ("masters") na digrii ya [[doktauzamifu]] ("udaktari").
 
[[jamii:Elimu]]