Tofauti kati ya marekesbisho "Milton Obote"

8 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Infobox Prime Minister |name=Apollo Milton Obote |image= Obote cropped.png |caption= |imagesize=230px |order= Rais wa Pili wa Uganda |term_start1=15 Aprili 19...')
 
Kati ya 1962 hadi 1966 Obote alikuwa [[waziri mkuu]] wa Uganda. Aliendelea kutawala kama rais wa Jamhuri ya Uganda tangu 1966 hadi 1971 akarudi baadaye 1980 hadi 1985.<ref name="Anguria2006">{{cite book|author=Omongole R. Anguria|title=Apollo Milton Obote: What Others Say|url=http://books.google.com/books?id=YqZyAAAAMAAJ|date=1 January 2006|publisher=Fountain Publishers|isbn=978-9970-02-616-6}}</ref>
 
Obote alipinduliwa na [[Idi Amin]] mwaka 1971 lakini alirudishwa baada ya kufukuzwa kwa Amin mwaka 1979 na jeshi la Tanzania. Uchaguzi wa kiraisi wa 1980 haukubaliwa na vyama vya upinzani na hapo [[Yoweri Museveni]] alianza harakati [[National Resistance Army]] (NRA) na vita ya msituni dhidi ya Obote. Katika vita hii serikali na jeshi la Obote vilishtakiwa kuwajibika kwa jinai dhidi ya haki za kibinadamu zilizogharamia maisha ya watu maelfu. <ref name="Doom p.9">{{cite journal|author1=Ruddy Doom|author2=Koen Vlassenroot|url=http://afraf.oxfordjournals.org/content/98/390/5.abstract|title=Kony's Message: A New Koine?|journal= African Affairs |year=1999|volume=98|issue=390|page=9|doi=10.1093/oxfordjournals.afraf.a008002}}</ref> Vita ya msituni wa Uganda ilisababisha vifo vya watu 100,000 hadi 500,000.<ref>Henry Wasswa (10 October 2005), [http://usatoday30.usatoday.com/news/world/2005-10-11-oboteobit_x.htm "Uganda's first prime minister, and two-time president, dead at 80"], Associated Press</ref><ref>Bercovitch, Jacob and Jackson, Richard (1997), ''International Conflict: A Chronological Encyclopedia of Conflicts and Their Management 1945–1995''. Congressional Quarterly. ISBN 156802195X.</ref><ref>[https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/ug.html Uganda]. CIA Factbook.</ref>
 
Tarehe 27 Julai 1985 Obote alipinduliwa tena na wakuu wa jeshi chini ya jenerali [[Tito Okello]]. Obote alikumbia kwenda Tanzania na baadaye Zambia.