Idi Amin : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 3:
[[Picha:Amin is carried.jpg|thumb|250px|Idi Amin akibebwa kifalme na [[wafanyabiashara]] [[Waingereza]] huko [[Kampala]].]]
'''Idi Amin Dada''' alikuwa [[mwanajeshi]] kutoka nchi ya Uganda aliyepindua serikali na kujifanya [[Orodha ya Marais wa Uganda|rais]] wa [[Uganda]] tangu mwaka [[1971]] hadi [[1979]] hadi alifukuzwa na [[jeshi]] la [[Tanzania]]. Alitawala kidikteta ilhali uchumi wa nchi uliporomoka na jinai nyingi dhidi ya haki ya kibinadamu zilitendwa.
Idadi ya watu waliuawa Uganda kutokana na utawala wake imekadiriwa kuwa kati ya watu 100,000<ref name="Ullman1978">{{cite journal|last=Ullman|first=Richard H.|title=Human Rights and Economic Power: The United States Versus Idi Amin|journal=[[Foreign Affairs]]|date=April 1978|url=http://www.foreignaffairs.com/articles/29141/richard-h-ullman/human-rights-and-economic-power-the-united-states-versus-idi-ami|accessdate=26 March 2009|quote=The most conservative estimates by informed observers hold that President Idi Amin Dada and the terror squads operating under his loose direction have killed 100,000 Ugandans in the seven years he has held power.}}</ref> hadi 500,000.<ref name="guardian_obit">{{cite news|last=Keatley|first=Patrick|title=Obituary: Idi Amin|url=https://www.theguardian.com/news/2003/aug/18/guardianobituaries|work=[[The Guardian]]|date=18 August 2003|accessdate=18 March 2008|location=London}}</ref>
Katika miaka yake ya kushika serikali Amin alibadilika kutoka uhusiano wa kirafiki na nchi za magharibi na hasa [[Israeli]] kuhamia upande wa [[Muammar Gaddafi]] wa Libya, [[Mobutu Sese Seko]] wa [[Zaire]], [[Umoja wa Kisovyeti]] na [[Ujerumani ya Mashariki]].<ref name=libya1>{{cite book|title=Africa Since 1800|author=Roland Anthony Oliver, Anthony Atmore|page=272}}</ref><ref name=ussr1>{{cite book|title=Who influenced whom?|author=Dale C. Tatum|page=177}}</ref><ref name=gdr1>Gareth M. Winrow. ''The Foreign Policy of the GDR in Africa'', p. 141.</ref> Hata hivyo Amin alipata usaidizi wa [[ofisi ya upelelezi ya Marekani CIA]] iliyotuma silaha na vifaa vingine kwa jeshi lake.<ref>New York Times, Dec. 17, 1986; ''Paper Cites CIA Aid to Amin's Army in 70s''</ref>
Mwaka 1977 Amin alivunja uhusiano wa kidiplomasia na [[Ufalme wa Maungano]] (Uingereza) akajitangaza kuwa alishinda na kuongeza CBE kwenye vyeio vyake kwa maana "Conqueror of the British Empire". Kuanzia wakati ule cheo chake rasmi kilikuwa "His Excellency President for Life, Field Marshal Alhaji Dr. Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE".<ref name="guardian_obit" />
Jaribio la Amin la kutwaa sehemu za [[Mkoa wa Kagera]] wa [[Tanzania]] kwenye mwaka 1978 lilisababisha [[Vita ya Kagera]] baina Tanzania na Uganda na mwisho wa utawala wake. Amin alikimbia kukaa ugenini [[Libya]] na baadaye [[Saudia]] alipoishi hadi kifo chake mwaka 2003.
==Maisha==
|