Idi Amin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 75:
|}
 
===Mkuu wa Jeshi na mapinduzi===
Amin alipandishwa cheo na waziri mkuu [[Milton Obote]] baada ya [[uasi wa wanajeshi katika Afrika ya Mashariki wa 1964]] uliokomeshwa na askari Waingereza katika Tanganyika, Kenya na Uganda akawa makamu wa mkuu wa Jeshi aliyekuwa bado Mwingereza. Kutoka hapa alishirikiana na Obote katika hatua za kuimarisha utawala wa waziri mkuu. Wakati bunge la Uganda ilitaka utafiti kuhusu mashatki ya Obote kushiriki katika biashara ya siri ya pembe za ndovu kutoka Kongo Obote iliamua kubadilisha katiba na jeshi la Amini lilimfukuza Mkuu wa Dola Kabaka Mutesa kwa nguvu halafu Obote alijitangaza kuwa rais. Sasa Amin alikuwa kanali na Mkuu wa Jeshi.<ref>{{cite web|url=http://lcweb2.loc.gov/frd/cs/ugtoc.html#ug0159 |work=Federal Research Division|publisher=United States Library of Congress|title=Country Studies: Uganda: Independence: The Early Years|accessdate=8 August 2009}}</ref><ref name=bookrags>{{cite web|url=http://www.bookrags.com/biography/idi-amin-dada|work=Encyclopedia of World Biography|publisher=Thomson Gale|title=Idi Amin Dada Biography|year=2005|accessdate=20 March 2016}}</ref>
 
Mstari 83:
1970 Obote aliendelea kumpa Amin cheo cha mkuu wa mikono yote ya jeshi na ulinzi. Lakini Amin alisikia pia ya kwamba kulikuwa na mashtaki dhidi yake kutokana na matumizi ya makisio ya jeshi na mipango ya Obote kumfanyia utafiti. Hapo Amin alitumia nafasi ya safari ya Obote kwenda nje kwa kuhudhuria kwenye mkutano wa [[Jumuiya ya Madola]] akatwaa mamlaka ya serikali tarehe 25 Januari 1971.<ref>[https://web.archive.org/web/20070225004054/http://www.britishcouncil.org/learnenglish-central-history-amin.htm "General Idi Amin overthrows Ugandan government"]. British Council. 2 February 1971. Archived from the original on 25 February 2007. Retrieved 8 August 2009.</ref>
 
==Mtawala wa Uganda==
Mwaka [[1971]] alimpindua [[rais]] [[Milton Obote]] akajitangaza kuwa rais mpya, lakini wengine hawakumtaka.