Tofauti kati ya marekesbisho "Milton Obote"

194 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
 
}}
 
'''Apollo Milton Obote''' (*[[28 Desemba]] [[1925]] {{ndash}}- [[10 Oktoba]] [[2005]]) alikuwa [[mwanasiasa]] wa [[Uganda]] aliyepambaniaaliyepigania [[uhuru]] wa nchi yake uliofikiwa mwaka [[1962]].<ref name="Dyk2016">{{cite book|author=Gideon AJ van Dyk|title=Military Psychology for Africa|url=http://books.google.com/books?id=a-bVCwAAQBAJ&pg=PA379|date=18 March 2016|publisher=AFRICAN SUN MeDIA|isbn=978-1-920689-95-7|pages=379–}}</ref><ref name="HorvitzCatherwood2014">{{cite book|author1=Leslie Alan Horvitz|author2=Christopher Catherwood|title=Encyclopedia of War Crimes and Genocide|url=http://books.google.com/books?id=AHpFp2nsGyUC&pg=PA331|date=14 May 2014|publisher=Infobase Publishing|isbn=978-1-4381-1029-5|pages=331–}}</ref>
 
Kati ya miaka 1962 hadina [[1966]] Obote alikuwa [[waziri mkuu]] wa Uganda. Aliendelea kutawala kama [[rais]] wa Jamhuri ya Uganda tangu 1966 hadi [[1971]] akarudiakarudia baadaye, tangu mwaka [[1980]] hadi [[1985]].<ref name="Anguria2006">{{cite book|author=Omongole R. Anguria|title=Apollo Milton Obote: What Others Say|url=http://books.google.com/books?id=YqZyAAAAMAAJ|date=1 January 2006|publisher=Fountain Publishers|isbn=978-9970-02-616-6}}</ref>
 
Obote [[Mapinduzi|alipinduliwa]] na [[Idi Amin]] mwaka 1971 lakini alirudishwa baada ya kufukuzwa kwa Amin mwaka 1979kufukuzwa na [[jeshi la Tanzania]] mwaka [[1979]]. [[Uchaguzi]] wa kiraisikirais wa 1980 haukubaliwahaukukubaliwa na vyama vya upinzani na hapo [[Yoweri Museveni]] alianza harakati za [[National Resistance Army]] (NRA) na [[vita]] ya [[Msitu|msituni]] dhidi ya Obote. Katika vita hii serikali na jeshi la Obote vilishtakiwa kuwajibika kwa [[makosa ya jinai]] dhidi ya [[haki za kibinadamu]] zilizogharamiazilizogharamu maisha[[uhai]] yawa watu maelfu[[elfu]] kadhaa. <ref name="Doom p.9">{{cite journal|author1=Ruddy Doom|author2=Koen Vlassenroot|url=http://afraf.oxfordjournals.org/content/98/390/5.abstract|title=Kony's Message: A New Koine?|journal= African Affairs |year=1999|volume=98|issue=390|page=9|doi=10.1093/oxfordjournals.afraf.a008002}}</ref> Vita ya msituni wa Uganda ilisababisha [[Kifo|vifo]] vya watu 100,000 hadi 500,000.<ref>Henry Wasswa (10 October 2005), [http://usatoday30.usatoday.com/news/world/2005-10-11-oboteobit_x.htm "Uganda's first prime minister, and two-time president, dead at 80"], Associated Press</ref><ref>Bercovitch, Jacob and Jackson, Richard (1997), ''International Conflict: A Chronological Encyclopedia of Conflicts and Their Management 1945–1995''. Congressional Quarterly. ISBN 156802195X.</ref><ref>[https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/ug.html Uganda]. CIA Factbook.</ref>
 
Tarehe [[27 Julai]] 1985 Obote alipinduliwa tena na wakuu wa [[jeshi]] chini ya [[jenerali]] [[Tito Okello]]. Obote alikumbia kwendaalikimbilia [[Tanzania]] na baadaye [[Zambia]].
 
Tarehe 10 Oktoba 2005 Obote aliaga [[dunia]] kwenye [[hospitali]] moja mjini [[Johannesburg]], [[Afrika Kusini]] kwenye [[umri]] wa miaka 79.<ref>{{cite news|url=http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/4328834.stm|title=Former Ugandan leader Obote dies|work=[[BBC News]]|date=10 October 2005|accessdate=19 May 2016}}</ref>
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
{{Commons category}}
 
 
{{DEFAULTSORT:Obote, Milton}}
[[Category:Waliofariki 2005]]
[[Category:Wanasiasa wa Uganda]]
[[Jamii:Marais wa Uganda]]