Mbinu ya rediokaboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mbinu ya rediokaboni''' (pia: '''mbinu ya <sup>14</sup>C''': kwa Kiingereza ''radiocarbon dating'', ''carbon-14 dating'') ni njia ya [[sayansi|kisayansi]] kutambua [[umri]] wa [[mata ogania]].
 
Msingi wa mbinu hii ni kuwepouwepo kwawa [[kaboni]] katika kila kiumbe; na kupungua kwa [[idadi]] ya [[isotopi]] za kaboni aina za <sup>14</sup>C kwa sababu idadi za [[atomi nururifu]] inapungua kadiri ya [[mbunguo nyuklia]]. Kutokana na [[asilimia]] za kaboni nururifu ya <sup>14</sup>C iliyobaki katika mata ogania inawezekana kukadiria umri wake.
 
NiMbinu ya rediokaboni ni muhimu hasa kwa [[fani]] ya [[akiolojia]]. Mbinu hii inamruhusu [[mtaalamu]] kujua umri wa [[ubao]], [[mifupa]] na mabaki mengine yanayotokana na viumbe wa kale. Mbinu hii inahitaji kuwepo kwa mata ogania, yaani haiwezi kutambua umri wa vitu kama [[dhahabu]], [[chuma]], [[mwamba]]. Hauwezi kuleta matokeo kwa viumbe wenye umri mkubwa kushinda miaka 60,000.
=== Matumizi ya mbinu ya rediokaboni ===
Ni muhimu hasa kwa [[fani]] ya [[akiolojia]]. Mbinu hii inamruhusu [[mtaalamu]] kujua umri wa [[ubao]], [[mifupa]] na mabaki mengine yanayotokana na viumbe wa kale. Mbinu hii inahitaji kuwepo kwa mata ogania, yaani haiwezi kutambua umri wa vitu kama [[dhahabu]], [[chuma]], [[mwamba]]. Hauwezi kuleta matokeo kwa viumbe wenye umri mkubwa kushinda miaka 60,000.
 
Hata hivyo mbinu hii inahitaji kuwepo kwa mata ogania, yaani haiwezi kutambua umri wa vitu kama [[dhahabu]], [[chuma]], [[mwamba]].
 
Vilevile haiwezi kuleta matokeo kwa viumbe wenye umri mkubwa kushinda miaka 60,000.
 
==Historia ya mbinu hii==
Mbinu hii ya upimaji iligunduliwa mnamo [[1946]] na mtaalamu [[Mmarekani]] [[Willard Frank Libby]] aliyepokea [[tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka [[1960]]. Libby aliweza kuonyesha usahihi wa mbinu yake kwa kutambua umri wa mbao za [[jeneza]] na za [[boti]] ya [[Misri ya Kale]]. Jeneza na boti zilihifadhiwa katika [[kaburi|makaburi]] ya [[Misri]] ambako vitu vingi vimekaa tangu miaka [[elfu]] kadhaa bila kuoza kutokana na [[hewa]] kame ya nchi hiyo. Hali nzuri ya yaliyomo katika makaburi ya Misri imetunza pia [[maandiko]] juu ya vitu hivyo ambayo mara nyingi pia hutaja mwaka wa [[kifo]] cha mhusika wa kaburi, na hivyo kutaja umri wa kaburi. Upimaji wa Libby ulilingana na umri uliojulikana tayari, hivyo kuthibitisha uwezo wa mbinu yake.<ref>http://hbar.phys.msu.ru/gorm/fomenko/libby.htm Age determinations by radiocarbon content: checks with samples of known age J. R. Arnold and W. F. Libby Institute for Nuclear Studies, University of Chicago, Chicago, Illinois SCIENCE December 23, 1949, Vol. 110</ref>
 
=== Misingi ya kisayansi ===
=== Kaboni nururifu na kaboni ya kawaida ===
Kaboni hupatikana hewani kwa kawaida kwa umbo thabiti la <sup>12</sup>C. Lakini asilimia ndogo sana ya kaboni iliyoko hewani inapigwa na mnururisho wa jua na kubadilika kuwa isotopi nururifu ya <sup>14</sup>C. Atomi hizi nururifu huitwa isotopi. Kwenye hewa ya kawaida kuna uhusiano kati ya <sup>12</sup>C na <sup>14</sup>C ambayo ni kati ya atomi 1,000,000,000 za <sup>12</sup>C kuna atomi 1 ya <sup>14</sup>C pekee.
Line 24 ⟶ 28:
 
=== Mipaka wa uwezo wa kugundua umri ===
Mbinu huu wa rediokaboni unaweza kutambua umri hadi miaka 50-60,000 hivi. Kama sampuli ina miaka zaidi ya hii haiwezekani kwa sababu kiasi cha <sup>14</sup>C kimeshapungua mno kutokana na mchakato wa kuyeyuka („mbunguo nyuklia“). Kama kiwango cha mata ni kidogo mno hata nii ni tatizo. Kwa hiyo mbinu wa <sup>14</sup>C haileti matokeo kwa swali, je umri wa [[chokaa mawe]] ni upi? kwa sababu umri huo ni miaka mamilionimilioni kadhaa.
 
== Viungo vya nje ==