Kichechen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kichechen''' ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wachechen. Mwaka wa 2010 idadi ya...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kichechen''' ni [[Lugha za Kikaukazi ya Kaskazini|lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini]] nchini [[Urusi]] inayozungumzwa na [[Wachechen]]. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kichechen nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 1,350,000. Wachechen wengi, takriban laki moja, wamekimbia nchi yao na kuishi katika nchi za [[Kazakhstan]], [[Kirgizia]], [[Georgia (nchi)|Georgia]] na nyingine za [[Asia ya Kati]], [[Mashariki ya Kati]] au [[Ulaya]]. Idadi ya wasemaji katika nchi hizo hazijulikani, ila mwaka wa 2013, wasemaji 3200 walihesabiwa nchini [[Yordani]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichechen iko katika kundi la Kinakh.
 
==Viungo vya nje==