Amerika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
→‎Historia: rekebisha kiungo cha picha
Mstari 22:
=== Wenyeji asilia kutoka Asia Kaskazini ===
Inaaminiwa leo ya kwamba hadi miaka 20,000 hadi 16,000 iliyopita hapakuwa na binadamu Amerika. Wakazi asilia walianza kuingia wakati ule kutoka [[Siberia]] ([[Asia ya Kaskazini]]) kupitia nchi kavu iliyopatikana wakati ule katika eneo la [[mlango wa bahari wa Bering]] kutokana na kipindi cha baridi.
[[Picha:WaindioIndios waim kabilaReservat laMaraiwatséde Xavantesder (Brazil)Xavantes.jpegjpg|thumb|250px|Waindio wa Brazil]]
Hakuna uhakika jinsi gani uhamiaji huu ulitokea. Lakini wataalamu wote wakubaliana ya kwamba karibu wakazi asilia wote walitokea kutoka vikundi vya wavindaji walioingia Amerika kutoka Siberia na kusambaa hadi kusini kabisa. Kutoka vikundi hivi vilijitokeza mataifa na makabila mengi ya wenyeji asilia jinsi walivyoonekana wakati wa kuja kwa Wahispania wakati wa Kolumbus ambayo ni wakati ambako habari za maandishi zinaanza kupatikana.