Visiwa vya Karibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:CaribbeanIslands.png|thumb|400px|Visiwa vya Karibi]]
'''Visiwa vya Karibi''' ni idadi[[Elfu|maelfu]] ya maelfu [[visiwa]] vikubwa na vidogo katika [[Bahari ya Karibi]]. Mara nyingi vikundi vitatu vya visiwa hutofautishwa ndivyo:
 
Mara nyingi vikundi vitatu vya visiwa hutofautishwa ambavyo ni:

* [[Antili Kubwa]] ([[Kuba]], [[Jamaika]], [[Hispaniola]] na [[Puerto Rico]] pamoja na visiwa vidogo na [[funguvisiwa]] mbalimbali)
* [[Antili Ndogo]] (pindeupinde yawa visiwa vidogo kati ya [[Puerto Rico]] na [[Venezuela]] [[bara]] kutoka [[visiwa vya Virgin]] hadi [[Antili za Kiholanzi]])
* [[Visiwa vya Bahamas]]
 
Vyote vilikuwa ma[[koloni]] zaya [[Hispania]], [[Uingereza]], [[Ufaransa]], [[Uholanzi]], [[Denmark]] au [[Marekani]]. Siku hizi vingi vimekuwa nchi huru au walau za kujitegemea kwa kiasi fulani.
 
Vingine vimekuwa sehemu kamili za nchi zilizopo ng'ambo, kwa mfano [[mikoa]] ya Ufaransa ya [[Martinique]] na [[Guadeloupe]], sehemu za [[ufalme wa Uholanzi]] kama [[Bonaire]] na Curasao[[Korsou]] au maeneo ya Uingereza. Vingine vina hali ya katikati; si koloni wala eneo kamili ya nchi ya ya ng'ambo lakini havikutenga na kuwa nchi ya kujitegemea kama Puerto Rico iliyo nchi linaloshiriki na Marekani.
 
Vingine vina hali ya katikati; si koloni wala eneo kamili ya nchi ya ng'ambo, lakini havikutenga na kuwa nchi ya kujitegemea kama Puerto Rico iliyo nchi inayoshiriki na Marekani.
Wakazi mara nyingi ni wa mchanganyiko wa asili ya Kiafrika, asili ya Kizungu na pia ya Waindio asilia pamoja na watu wenye asili ya Asia (hasa Uhindi, Indonesia na Uchina) katika visiwa ambako wafanyakazi walitafutwa ng'ambo baada ya mwisho wa utumwa.
 
Wakazi mara nyingi ni wa mchanganyiko wa asili ya [[Afrika|Kiafrika]], asili ya [[Mzungu|Kizungu]] na pia ya [[Waindio asilia]] pamoja na watu wenye asili ya [[Asia]] (hasa [[Uhindi]], [[Indonesia]] na [[Uchina]]) katika visiwa ambako [[wafanyakazi]] walitafutwa ng'ambo baada ya mwisho wa [[utumwa]].
Lugha zinazotumiwa ni hasa [[Kihispania]] na [[Kiingereza]] pamoja na [[lugha za Kikreoli]]. Kufuatana na historia ya ukoloni kuna pia visiwa ambako [[Kiholanzi]] (hasa [[Antili za Kiholanzi]]) na [[Kifaransa]] ([[Martinique]], [[Guadeloupe]], [[Haiti]]) hutumiwa.
 
[[Lugha]] zinazotumiwa ni hasa [[Kihispania]] na [[Kiingereza]] pamoja na [[lugha za Kikreoli]]. Kufuatana na [[historia]] ya [[ukoloni]] kuna pia visiwa ambako [[Kiholanzi]] (hasa [[Antili za Kiholanzi]]) na [[Kifaransa]] ([[Martinique]], [[Guadeloupe]], [[Haiti]]) hutumiwa.
 
Orodha inayofuata si kamili.
Line 19 ⟶ 23:
* [[Anguilla]] ([[Uingereza]])
* [[Antigua na Barbuda]]
* [[Antili za Kiholanzi]] ([[Uholanzi]]) pamoja na [[Bonaire]] na [[CurasaoKorsou]]
* [[Aruba]] (Uholanzi)
* [[Barbados]]
* [[Dominica]] (Umoja wa DominicaDominika)
* [[Grenada]]
* [[Guadeloupe]] (mkoa wa ng'ambo wa [[Ufaransa]])
* [[Hispaniola]] (panachenye nchi za [[Jamhuri ya Dominica]] na [[Haiti]])
* [[Jamaika]]
* [[Kuba]]
Line 40 ⟶ 44:
* [[Visiwa vya Virgin vya Uingereza]]
 
Visiwa vya [[Atlantiki]] ambavyo mara nyingi huhesabiwa katika Karibi:
* Visiwa vya [[Bahamas]]
* [[Visiwa vya Turks na Caicos]] (Uingereza)
 
 
{{mbegu-jio-Karibi}}
[[Jamii:Amerika ya Kaskazini]]
 
[[Jamii:Amerika ya Kati]]
[[Jamii:Karibi| ]]