Visiwa vya Karibi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:CaribbeanIslands.png|thumb|400px|Visiwa vya Karibi]]
'''Visiwa vya Karibi''' ni [[Elfu|maelfu]] ya [[visiwa]] vikubwa na vidogo katika [[Bahari ya Karibi]] ([[Atlantiki]]).
Eneo lote linachukua [[kilometa mraba]] 2,754,000, lakini nchi kavu ni km2 239,681 tu.
==Mgawanyiko wa kijiografia==
Mara nyingi vikundi vitatu vya visiwa hutofautishwa ambavyo ni:
Line 8 ⟶ 11:
* [[Visiwa vya Bahamas]]
==Mgawanyiko wa kiutawala==
Vingine vimekuwa sehemu kamili za nchi zilizopo ng'ambo, kwa mfano [[mikoa]] ya Ufaransa ya [[Martinique]] na [[Guadeloupe]], sehemu za [[ufalme wa
Vingine vina hali ya katikati; si koloni wala eneo kamili ya nchi ya ng'ambo, lakini havikutenga na kuwa nchi ya kujitegemea kama Puerto Rico iliyo nchi inayoshiriki na Marekani.
==Watu==
Wakazi
[[Lugha]] zinazotumiwa ni hasa [[Kihispania]] na [[Kiingereza]] pamoja na [[lugha za Kikreoli]]. Kufuatana na [[historia]] ya [[ukoloni]] kuna pia visiwa ambako [[Kiholanzi]] (hasa [[Antili za Kiholanzi]]) na [[Kifaransa]] ([[Martinique]], [[Guadeloupe]], [[Haiti]]) hutumiwa.
Upande wa [[dini]], wakazi wengi ni [[Wakristo]] (84.7%), hasa [[Wakatoliki]].
== Visiwa na funguvisiwa katika Karibi ==
Orodha inayofuata si kamili hata kidogo; inataja tu visiwa muhimu zaidi.
* [[Anguilla]] ([[Uingereza]])
* [[Antigua na Barbuda]]
* [[Antili za Kiholanzi]] ([[Uholanzi]]) pamoja na [[Bonaire]], [[Saba (kisiwa)|Saba]] na [[
* [[Aruba]] (
* [[Barbados]]
* [[Cayman Islands|Cayman]] (Uingereza)
* [[Dominica]] (Umoja wa Dominika)
* [[Grenada]]
* [[Guadeloupe]] (mkoa wa ng'ambo wa [[Ufaransa]])
* [[Hispaniola]] (chenye nchi za [[Jamhuri ya
* [[Jamaika]]
* [[Korsou]] (sehemu ya Ufalme wa Nchi za Chini)
* [[Kuba]]
* [[Martinique]] (mkoa wa ng'ambo wa Ufaransa)
Line 38 ⟶ 47:
* [[Saint Lucia]]
* [[Saint Vincent na Grenadini]]
* [[Sint Maarten]] (sehemu ya Ufalme wa Nchi za Chini)
* [[Trinidad na Tobago]]
* [[Visiwa vya Cayman]] (Uingereza)
* [[Visiwa vya Virgin vya Marekani]]
Line 47 ⟶ 56:
* Visiwa vya [[Bahamas]]
* [[Visiwa vya Turks na Caicos]] (Uingereza)
{{Amerika Kaskazini}}
{{mbegu-jio-Karibi}}
[[Jamii:Amerika ya Kaskazini]]
|