Seli nyekundu za damu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '150px|right '''Seli nyekundu za damu''' (pia erithrosaiti , ing. ''red blood cells'' au ''erythrocyte'') ni seli za damu zen...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Redbloodcells.jpg|150px|right]]
'''Seli nyekundu za damu''' (pia erithrosaiti , kutoka [[ing.Kiingereza]] ''red blood cells'' au ''erythrocyte'') ni [[seli za damu]] zenye [[rangi]] [[nyekundu]].
 
[[Kazi]] yaoyake ni hasa kubeba [[oksijeni]] [[Mwili|mwilini]] mwote.<ref name=tb>{{cite book|title=Edexcel IGCSE Biology Student Book|author1=Bradfield, Phil|author2=Potter, Steve|publisher=Pearson Education|year=2009|isbn=9780435966881}}</ref><ref>{{cite web|publisher=Wisc-Online|title=General Anatomy & Physiology: Red Blood Cells|url=http://www.wisc-online.com/objects/ViewObject.aspx?ID=ap14604|author=Liang, Barbara|accessdate=2011-03-22}}</ref> [[Seli]] nyekundu za [[damu]] hupokea oksijeni katika [[mapafu]] na kuachana nayo wakati zinabanwa katika [[mishipa]] midogo mwilini.
'''Seli nyekundu za damu''' (pia erithrosaiti , [[ing.]] ''red blood cells'' au ''erythrocyte'') ni [[seli za damu]] zenye rangi nyekundu.
 
Rangi nyekundu inatokana na [[protini]] ya [[hemoglobini]] ndani yake.
Kazi yao ni hasa kubeba oksijeni mwilini.<ref name=tb>{{cite book|title=Edexcel IGCSE Biology Student Book|author1=Bradfield, Phil|author2=Potter, Steve|publisher=Pearson Education|year=2009|isbn=9780435966881}}</ref><ref>{{cite web|publisher=Wisc-Online|title=General Anatomy & Physiology: Red Blood Cells|url=http://www.wisc-online.com/objects/ViewObject.aspx?ID=ap14604|author=Liang, Barbara|accessdate=2011-03-22}}</ref>
 
Damu ya [[wanawake]] huwa na seli nyekundu [[milioni]] 4.8 seli nyekundu kwa [[mikrolita]] ya damu. Damu ya [[wanaume]] huwa na seli milioni 5.4 kwa [[ml]].<ref>http://www.webmd.com/a-to-z-guides/complete-blood-count-cbc?page=3</ref>
Rangi nyekundu inatokana na [[protini]] ya [[hemoglobini]] ndani yao. Seli nyekundu za damu hupokea oksijeni katika mapafu na kuachana nayo wakati zinabanwa katika mishipa midogo mwilini.
 
Damu ya wanawake huwa na milioni 4.8 seli nyekundu kwa [[mikrolita]] ya damu. Damu ya wanaume huwa na seli milioni 5.4 kwa ml.<ref>http://www.webmd.com/a-to-z-guides/complete-blood-count-cbc?page=3</ref>
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-biolojia}}
 
[[Jamii:damu]]