Mita ya ujazo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Kilomita ya ujazo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Metre-cube-beton-p1040192.jpg|thumb|Mita moja ya ujazo ya [[saruji]]]]
 
'''Mita ya ujazo''' (kifupi '''m³''') ni kipimo cha mjao chenye urefu, upana na kimo cha [[mita]] moja. Ni kiwango katika [[vipimo vya SI]]. Jina lingine ni "kilolita".
 
Mita moja ya ujazo inalingana na [[lita]] 1,000 au [[sentimita za ujazo]] 1,000,000.