Mita ya ujazo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Metre-cube-beton-p1040192.jpg|thumb|Mita moja ya ujazo ya [[saruji]].]]
 
'''Mita ya ujazo''' (kifupi '''m³''') ni [[kipimo]] cha mjao chenye [[urefu]], [[upana]] na [[kimo]] cha [[mita]] [[moja]]. Ni kiwango katika [[vipimo vya SI]]. [[Jina]] lingine ni "kilolita".
 
Mita moja ya [[ujazo]] inalingana na [[lita]] 1,000 au [[sentimita za ujazo]] 1,000,000.
 
1 m³ ya [[maji]] safi katika hali sanifu ([[halijoto]] ya 3.98 [[°C]]) na shindikizo sanifu ya [[hewaanga]]) huwa na [[masi]] ya [[kilogramu]] 1,000.
 
Kifupi kingine ni '''CBM''' (kwa [[Kiing.Kiingereza]] "cubic meter") hasa katika hati za [[biashara]] na usafirishaji.
 
[[Bilioni]] moja za mita za ujazo zinafanya [[kilomita ya ujazo]] ambayo ni kipimo kinachotumiwa kukadiria mjao wa [[bahari]].
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Vipimo sanifu vya kimataifa]]