Mikrolita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Mikrolita''' ni [[kipimo]] cha [[mjao]] ambacho ni sehemu ya [[milioni]] ya [[lita]] [[moja]]. Hii ni sawa na [[mm³]] ([[milimita ya mjao]]) 1 .
 
[[Alama]] yake ya [[kisayansi]] ni '''μl''' au '''μL'''.
 
Kitone cha [[maji]] kina mikrolita 10 hadi 50; [[idadi]] kamili inategemeana na ubora wa maji na [[halijoto]].
 
*1 '''μl''' = 0,000 001 l = 1 mm³
*1 l = 1 000 000 '''μl'''
*1 '''μL''' = 10<sup>–6</sup> [[lita|L]] = 1 [[milimita ya mjao|mm<sup>3</sup>]]
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[jamii:Vipimo vya mjao]]