Ukahaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 82 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q36633 (translate me)
Replacing 0405.Annabell_002.jpg with File:A_German_prostitute's_self-portrait_in_a_brothel.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: #3).
Mstari 1:
[[Picha:0405.AnnabellA 002German prostitute's self-portrait in a brothel.jpg|thumb|right|350px|Picha ya mfano wa kahaba akiwa kazini.]]
 
'''Ukahaba''' (kutoka [[ar.]] '''قحبه ''' ''qahabatun'' = malaya) ni tendo la kufanya [[ngono]] nje ya ndoa au uhusiano unaokubalika katika jamii, tena na watu mbalimbali na kwa malipo. Watendaji wanaopokea malipo huitwa kahaba au malaya; washiriki wanaotoa malipo huitwa wateja. Kama ukahaba unaendeshwa katika nyumba maalumu mahali panaitwa [[danguro]].