Seli nyekundu za damu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Seli nyekundu za damu''' (pia erithrosaiti , kutoka [[Kiingereza]] ''red blood cells'' au ''erythrocyte'') ni [[seli za damu]] zenye [[rangi]] [[nyekundu]].
 
[[Kazi]] yake ni hasa kubeba [[oksijeni]] kutoka [[mapafu]] kwenda [[Mwili|mwilini]] mwote.<ref name=tb>{{cite book|title=Edexcel IGCSE Biology Student Book|author1=Bradfield, Phil|author2=Potter, Steve|publisher=Pearson Education|year=2009|isbn=9780435966881}}</ref><ref>{{cite web|publisher=Wisc-Online|title=General Anatomy & Physiology: Red Blood Cells|url=http://www.wisc-online.com/objects/ViewObject.aspx?ID=ap14604|author=Liang, Barbara|accessdate=2011-03-22}}</ref> [[Seli]] nyekundu za [[damu]] hupokea oksijeni katika [[mapafu]] na kuachana nayo wakati zinabanwa katika [[mishipa]] midogo mwilini.
 
Rangi nyekundu inatokana na [[protini]] ya [[hemoglobini]] ndani yake.