Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 273:
Hadi sasa idadi ya barabara za [[lami]] si kubwa. Kuna hasa njia nzuri kati ya [[Dar es Salaam]], [[Mbeya]] katika kusini-magharibi, Dodoma katika kitovu cha nchi, Arusha / Tanga katika kaskazini-mashariki. Kusini-Mashariki na Magharibi ya nchi kwa jumla haina barabara nzuri na [[mawasiliano]] ni magumu.
 
ShirikaMashirika mbilimawili zaya reli zahudumiayanayohudumia Tanzania: ni TRC ([[Shirika ya Reli Tanzania]] - Tanzania Railways Corporation) na [[TAZARA]] (Tanzania-Zambia Railways Corporation). TRC imetawala reli ya kati kuanzia Dar es Salaam hadi [[Kigoma]] halafu reli ya Tanga kati ya Tanga na Arusha. Tazara imeunganisha Dar es Salaam na kusini ya nchi hadi Zambia. Zote hazikutunzwa vizuri na usafiri unakumbwa na huduma mbaya pamoja na [[ajali]].
 
Huduma kwa ndege zatumia hasa viwanja vya ndege 11 vyenye barabara ya lami kwa ajili ya ndege, hasa [[Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere|Julius Nyerere/Dar es Salaam]], [[Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro|Kilimanjaro /Arusha-Moshi]] na [[Zanzibar]]-Kisauni.
Pia kuna viwanja vingine vya ndege ambavyo ni uwanja was ndege wa Mwanza, Bukoba na Kigoma.
 
Usafiri was majini pia unafanyika hasa katika bahari ya Hindi, hakuna meli ya serikali hapo na mashirika binafsi hutoa huduma.
Usafiri was majini hufanyika pia katika maziwa ya Victoria,Tanganyika na Nyasa. Miongoni mwa Meli ni MV Bukoba Iliozama mwaka 1996.
Katika ziwa Tanganyika ipo meli ya Mv Liemba ambayo ilianza kutumika tangia kipindi cha ukoloni was wajerumani, inatoa huduma kati ya miji ya mwambao wa ziwa Tanganyika na nchi jirani
 
== Utamaduni na sanaa ==