John Breckinridge : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d rekebisha chama
Mstari 1:
[[File:John_C_Breckinridge-04775-restored.jpg|right|thumb|John C. Breckinridge]]
'''John Cabell Breckinridge''' ([[21 Januari]] [[1821]] – [[17 Mei]] [[1875]]) alikuwa mwanasheria, mwanajeshi na mwanasiasa wa [[Marekani]] akiwa mwanachama wa [[Chama cha JamhuriKidemokrasia cha Marekani|Chama cha JamhuriKidemokrasia]]. Alikuwa Kaimu Rais wa [[Marekani]] chini ya Rais [[James Buchanan]] kuanzia mwaka wa [[1857]] hadi [[1861]]. Baada ya ushindi wa [[Abraham Lincoln]] mwaka wa 1860, Breckinridge akawa mbunge wa [[Senati ya Marekani]] akiwakilisha jimbo la [[Kentucky]] kwa miaka michache tu. Baada ya majimbo saba kuasi na baada ya kuanzishwa kwa [[Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Marekani|vita]], Breckinridge akafukuzwa kutoka senati akakimbilia Kusini na kuwa mwanajeshi upande wa majimbo maasi. Baada ya Kusini kushindwa vitani, Breckinridge akawa mkimbizi katika nchi za [[Kuba]], [[Uingereza]] na [[Kanada]]. Mwaka wa 1868 akaruhusiwa kurudi Marekani lakini hakuingia mambo ya siasa tena. Akafariki mwaka wa 1875 akiwa na umri wa miaka 54 tu baada ya upasuaji kwa ajili ya kutibu majeraha aliyoyapata vitani.
 
{{DEFAULTSORT:Breckinridge, John}}