Tofauti kati ya marekesbisho "Nicholas Butler"

325 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 29 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q271517 (translate me))
No edit summary
 
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Portrait_of_Nicholas_Murray_Butler.jpg|right|thumb|Nicholas M. Butler]]
 
'''Nicholas Murray Butler''' ([[2 Aprili]] [[1862]] – [[7 Desemba]] [[1947]]) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya [[Marekani]]. Alikuwa mwenyekiti wa [[Chuo Kikuu cha Columbia]], na alijitahidi hasa upande wa elimu ya kimataifa. Mwaka wa 1912, alipofariki Kaimu Rais [[James Sherman]], Butler aliteuliwa kuchukua nafasi yake Sherman chini ya Rais [[William Howard Taft]] katika [[Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1912|uchaguzi wa 1912]] lakini wakashindwa na [[Woodrow Wilson]]. Mwaka wa [[1931]], pamoja na [[Jane Addams]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''.
 
{{DEFAULTSORT:Butler, Nicholas}}
62,394

edits