Tofauti kati ya marekesbisho "Pearl S. Buck"

131 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
 
}}
 
'''Pearl Buck''' ([[26 Juni]] [[1892]] – [[6 Machi]] [[1973]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Jina lake la kuzaliwa ni ''Pearl Comfort Sydenstricker''; Buck ni jina la mume wake. Lakini aliandika chini ya jina la ''John Sedges''. Anajulikana hasa kwa [[riwaya]] zake juu ya maisha katika nchi ya [[Uchina]] ambapo alilelewa akiwa mtoto wa wamisionari. Mwaka wa 1932 alituzwa [[Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]] kwa riwaya yake ''The Good Earth''. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.
 
{{DEFAULTSORT:Buck, Pearl S.}}
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Fasihi]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]]
62,394

edits