John Steinbeck : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 36:
{{Commons category|John Steinbeck|John Steinbeck}}
 
'''John Ernst Steinbeck''' ([[27 Februari]] [[1902]] – [[20 Desemba]] [[1968]]) alikuwa mwandishi hodari kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa [[riwaya]] yake “Zabibu za Hasira” (kwa Kiingereza: ''Grapes of Wrath'') iliyotolewa mwaka wa 1939; akatuzwa [[Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]] kwa riwaya hiyo mwaka wa 1940. Mwaka wa [[1962]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.
 
{{DEFAULTSORT:Steinbeck, John Ernst}}
Mstari 45:
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Fasihi]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]]