Tofauti kati ya marekesbisho "Robert Penn Warren"

78 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
| uzito =
}}
'''Robert Penn Warren''' ([[24 Aprili]] [[1905]] – [[15 Septemba]] [[1989]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa aliandika [[riwaya]] na mashairi. Mwaka wa [[1947]], alipokea '''[[Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]]''' kwa riwaya yake ''All the King's Men'' ("Wanaume wote wa Mfalme"). Kwa mashairi yake, alipokea [[Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi]] mara mbili, miaka ya [[1958]] na [[1979]].
 
{{DEFAULTSORT:Warren, Robert Penn}}
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Washairi wa Marekani]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi]]
62,394

edits