Alex Haley : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 33:
}}
 
'''Alex Palmer Haley''' ([[11 Agosti]] [[1921]] – [[10 Februari]] [[1992]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa anajulikana kwa [[riwaya]] yake ''Roots'' ("Mizizi") inayosimulia historia ya vizazi vya Wa[[afrika]] waliofungwa [[utumwa]]ni na kupelekwa Marekani. Mwaka wa [[1977]], alipokea '''[[Tuzo ya Pulitzer|tuzo maalumu ya Pulitzer]]'''.
 
{{DEFAULTSORT:Haley, Alex}}