Toni Morrison : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 40:
Alianza kufundisha fasihi kwenye chuo kikuu cha Texas Kusini mjini Houston, tangu 1957 tena Howard. Aliolewa na Howard Morrison akazaa watoto wawili. Baada ya talaka mwaka 1964 alianza kazi ya uhariri wa vitabu kwa wachapishaji wa Random House. Alihariri vitabu vingi vya waandishi weusi.
 
Mwaka 1970 alitoa kitabu chake cha kwanza "The Bluest Eye" (Jicho la buluu kabisa). Kitabu cha kwanza kilichofaulu kuuzwa vema kilikuwa "Song of Solomon" (Wimbo ya Suleimani) mwaka 1977. Mwaka wa 1988 alituzwa [[Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]] kwa riwaya yake ''Beloved''.
 
Tangu 1989 amefundisha kama profesa katika chuo kikuu cha Princeton. 1993 alipokea Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Mstari 60:
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Fasihi]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]]
[[Jamii:Wamarekani weusi]]