John F. Kennedy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Maisha: systematicaly wrong quote corss-wiki
Mstari 6:
 
[[Vita Kuu ya Pili]] ilipoanza alijiunga na [[jeshi la wanamaji]]. Mwaka [[1943]] alijeruhiwa katika [[shambulio]] lililofanywa na [[ndege za kivita]] za [[Japani]].
 
Mwaka wa 1957 Kennedy alituzwa '''[[Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu]]''' kwa ajili ya wasifu ya wabunge wanane wa [[Senati ya Marekani]]; kitabu kiliitwa ''Profiles in Courage''.
 
Mwaka [[1947]] alianza kujiingiza katika [[siasa]] na mwaka [[1960]] alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Ni rais pekee muumini wa [[Kanisa Katoliki]] katika [[historia]] ya nchi hiyo.