William Carlos Williams : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +Ushairi
 
Mstari 33:
}}
 
'''William Carlos Williams''' ([[17 Septemba]] [[1883]] – [[4 Machi]] [[1963]]) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Pamoja na kufanya kazi kama daktari, aliandika [[mashairi]], [[insha]] za historia na [[riwaya]] fupi. Mwaka wa [[1963]] wakati alipokuwa ameshafariki aliteuliwa kuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi]]''' kwa ajili ya mkusanyiko wake “Picha za Brueghel, na Mashairi Mengine” (kwa Kiingereza: ''Pictures from Brueghel, and Other Poems'') iliyotolewa mwaka wa 1962.
 
{{DEFAULTSORT:Williams, William Carlos}}
Mstari 40:
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Washairi wa Marekani]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi]]
[[Jamii:New Jersey]]