1968 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 36:
* [[4 Aprili]] - [[Martin Luther King, Jr.]], [[mchungaji]] na [[mwanaharakati]] kutoka [[Marekani]], aliuawa kwa kupigwa risasi na adui wa imani yake.
* [[16 Aprili]] - [[Edna Ferber]], mwandishi kutoka [[Marekani]]
* [[9 Mei]] - [[George Dillon (mshairi)|George Dillon]], mshairi kutoka [[Marekani]]
* [[1 Juni]] - [[Helen Keller]], [[mwandishi]] asiyeona wala kusikia kutoka nchini [[Marekani]]
* [[14 Juni]] - [[Salvatore Quasimodo]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1959]]