Tofauti kati ya marekesbisho "Wakatoliki wa Kale"

2,687 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[Image:Sint-Gertrudiskathedraal.JPG|thumb|[[Kanisa kuu]] la [[Gertrudi wa Thuringia|Mt. [[GertrudeGetruda]] huko [[Utrecht]], [[Uholanzi]]. Ni [[mama]] wa ma[[kanisa]] yote ya Wakatoliki wa Kale.]]
'''Wakatoliki wa Kale''' ni [[jina]] linalotumika kujumlisha [[Ukristo|Wakristo]] wa [[Ukristo wa magharibi|Magharibi]] ambao wametengana na [[Askofu wa Roma]] hasa baada ya [[Mtaguso wa kwanza wa Vatikano]] ([[1869]]-[[1870]]) kutangaza [[dogma]] ya [[Papa]] [[kutoweza kukosea]] anapotamka rasmi jambo fulani kama fundisho la kudumu moja kwa moja.
 
Wakristo hao walijipatia [[uaskofu]] halisi katika [[mlolongo wa Mitume]] kupitia [[Askofu]] wa [[Utrecht]] mwaka [[1873]], na baada ya hapo waliusambaza kwa [[madhehebu]] mengi, ambayo mengine kwa sasa hayana [[ushirika]] nao.
 
Kumbe Wakatoliki wa Kale wana ushirika na [[Waanglikana]].
[[Imani]] na [[liturujia]] zao zinafanana na zile za [[Kanisa Katoliki]], lakini taratibu zimekwenda mbali.
 
[[Imani]] na [[liturujia]] zao zinafanana na zile za [[Kanisa Katoliki]], lakini taratibu zimekwenda mbali, kwa mfano kwa kukubali [[upadri]] kwa [[wanawake]] na kwa kiasi fulani [[ushoga]].
Baadhi ya Makanisa ya namna hiyo yanaunda "[[Umoja wa Utrecht]]" ulioanzishwa mwaka [[1889]] na kuwa na waamini 115,000 duniani mwaka [[2013]].
 
Baadhi ya Makanisa ya namna hiyo yanaunda "[[Umoja wa Utrecht]]" ulioanzishwa mwaka [[1889]] na kuwa na waamini 115,000 duniani mwaka [[20132016]], wakiwa karibu wote wakazi wa [[Ulaya Magharibi]] na [[Poland]].
 
==Tanbihi==
{{Reflist|colwidth=30em}}
 
==Marejeo==
* Episcopi Vagantes and the Anglican Church. Henry R.T. Brandreth. London: Society for Promoting Christian Knowledge, 1947.
* Episcopi vagantes in church history. A.J. Macdonald. London: Society for Promoting Christian Knowledge, 1945.
* The Old Catholic Church: A History and Chronology (The Autocephalous Orthodox Churches, No. 3). [[Karl Pruter]]. Highlandville, Missouri: St. Willibrord's Press, 1996.
* The Old Catholic Sourcebook (Garland Reference Library of Social Science). Karl Pruter and J. Gordon Melton. New York: Garland Publishers, 1983.
* The Old Catholic Churches and Anglican Orders. C.B. Moss. The Christian East, January, 1926.
* The Old Catholic Movement. C.B. Moss. London: Society for Promoting Christian Knowledge, 1964.
 
==Marejeo mengine==
* "La Sainte Trinité dans la théologie de Dominique Varlet, aux origines du vieux-catholicisme". Serge A. Thériault. ''Internationale Kirchliche Zeitschrift'', Jahr 73, Heft 4 (Okt.-Dez. 1983), p. 234-245.
 
==Viungo vya nje==
{{External links|section|date=February 2016}}
{{EB1911 poster|Old Catholics}}
 
===Umoja wa Utrecht===
* [http://www.utrechter-union.org/pagina/137/english Union of Utrecht of The Old Catholic Churches]
* [http://www.okkn.nl Old-Catholic Church of the Netherlands]
* [http://www.alt-katholisch.de Catholic Diocese of the Old Catholics in Germany]
* [http://www.christkath.ch Old-Catholic Church of Switzerland]
* [http://www.altkatholiken.at Old-Catholic Church of Austria]
* [http://www.starokatolici.cz Old-Catholic Church of the Czech Republic]
* [http://www.polskokatolicki.pl Polish National Catholic Church]
* [http://www.slovenski-katolici.sk Old-Catholic Church of Slovakia]
 
===Makanisa chini ya Umoja wa Utrecht===
* [http://www.vieux-catholique-alsace.com/ Old-Catholic Mission in France] and [http://www.fraternitestvincentdelerins.fr/ Fraternité St Vincent de Lérins]
* [http://www.veterocattolici.it/ Old-Catholic Mission in Italy]
* [http://www.gammalkatolik.se Old-Catholic Mission in Sweden and Denmark]
 
===Mengine yasiyo ndani ya Umoja wa Utrecht===
* [http://www.occus.org/ Old Catholic Confederation]
* [http://www.oldcatholic.us Diocese of St. Benedict Old Catholic Church]
* [http://www.oldcatholicchurchuk.com The Old Catholic Church in the United Kingdom]
* [http://communityofcharity.org Columbus Community of Charity Independent Old Catholic Church]
 
{{mbegu-Ukristo}}