Tofauti kati ya marekesbisho "Urithi wa Dunia"

4 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
badilisha kiungo
d (Removing Link FA template (handled by wikidata))
(badilisha kiungo)
Orodha rasmi ya UNESCO ina mahali 779 pa urithi wa dunia wa kiutamaduni na mahali 197 pa urithi wa dunia wa kimazingira, mbali ya 31 pa mseto.
 
Mwanzo wa jitihada za kuhifadhi urithi wa dunia ulikuwa ujenzi wa [[bwawa]] la [[Assuan]] lililoelekea kuzamisha majengo mbalimbali ya utamaduni wa [[Misri]] na [[Nubia]] wa kale chini ya [[maji]]. Wakati ule UNESCO ilifaulu kukusanya [[pesa]] ili [[hekalu]] la [[Abu Simbel]] liweze kuhamishwa mlimani kabla ya kujaa kwa bwawa.
 
Tangu [[1972]] kuna [[mkataba wa kimataifa]] wa [[Stockholm]] kuhusu hifadhi ya urithi wa dunia kiutamaduni na kimazingira.