Tofauti kati ya marekesbisho "Israel"

61 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
 
==Watu==
Takriban 74.9% za wakazi ni [[Wayahudi]] ambao wengi wao wanafuata [[dini]] ya [[Uyahudi]], na 20.7 % ni [[Waarabu]] ambao wengi ni [[Waislamu]] (16%) lakini pia [[Wakristo]] (2% za raia wote: kati yao karibu 80% ni Waarabu). [[Wahamiaji]] wengi wasiopata uraia ni Wakristo.
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiebrania]] na [[Kiarabu]]. [[Lugha]] nyingine zinazotumika sana nyumbani ni [[Kirusi]], [[Kifaransa]] na [[Kiamhari]], mbali ya [[Kiingereza]].