Tofauti kati ya marekesbisho "Israel"

192 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
|area_magnitude = 1 E10
|percent_water = ~2
|population_estimate = 8,238602,300000<sup>2</sup>
|population_estimate_year = Desemba 20142016
|population_estimate_rank = ya 96
|population_census = 7,412,200
|population_census_year = 2008
|population_density = 387.63391
|population_density_rank = ya 3435
|GDP_PPP_year = 2006
|GDP_PPP = $177.3 billioni
'''Israel''' (kwa [[Kiebrania]]: '''מדינת ישראל''' - ''Medinat Yisra'el''; kwa [[Kiarabu]]: '''دَوْلَةْ إِسْرَائِيل''' - ''dawlat Isrā'īl'') ni nchi ya [[Mashariki ya Kati]] kwenye [[mwambao]] wa [[mashariki]] wa [[Mediteranea]].
 
Imepakana na [[Lebanon]], [[Syria]], [[Yordani]], [[Misri]] na maeneo yaliyo chini ya [[mamlaka]] ya [[serikali]] ya [[Palestina]].
 
==Historia==
Nchi ya kisasa ilianzishwa tarehe [[14 Mei]] [[1948]] lakini nyuma kuna [[historia]] ndefu, ambayo kwa sehemu muhimu inasimulia na [[Biblia]] kama [[kiini]] cha [[historia ya wokovu]].
 
[[Mji mkuu]] umekuwa [[Yerusalemu]] tangu mwaka [[1950]] lakini nchi nyingi hazikubali kuwa hivyo kwa sababu hali yayake kisheriakadiri ya kimataifa juu[[Sheria ya Yerusalemukimataifa]] haieleweki.
 
==Watu==
Takriban 74.9% za wakazi ni [[Wayahudi]] ambao wengi wao wanafuata [[dini]] ya [[Uyahudi]], na 20.7 % ni [[Waarabu]] ambao wengi ni [[Waislamu]] (16%) lakini pia [[Wakristo]] (2% za raia wote: kati yaoya Wakristo hao karibu 80% ni Waarabu). [[Wahamiaji]] wengi wasiopata uraia ni Wakristo.
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiebrania]] na [[Kiarabu]]. [[Lugha]] nyingine zinazotumika sana nyumbani ni [[Kirusi]], [[Kifaransa]] na [[Kiamhari]], mbali ya [[Kiingereza]].
 
==Tazama pia==
*[[Israeli ya Kale]]
*[[Mapambano kati ya Israeli na Palestina]]
 
== Viungo vya nje ==
{{commons}}
* {{en}} na {{ar}} (na [[Kiebrania]]) [http://www.gov.il/firstgov/english/ [[Tovuti]] ya [[serikali]]]
* [http://israilgercegi.blogcu.com Israel blog]