Kaizari Karoli V : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Karoli V''' (pia: '''Carlos I wa Hispania'''; [[24 Februari]] [[1500]] &ndash; [[21 Septemba]] [[1558]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]]<ref>Dola Takatifu la Kiroma ilikuwa jina la milki iliyounganisha Ujerumani, Uholanzi, Ubelgiji pamoja na maeneo katika Italia, Ufaransa na Ucheki wa leo katika [[enzi ya kati]] hadi 1806.</ref> kuanzia [[1519]] hadi kujiuzulu mwezi wa Septemba [[1556]].
 
Alimfuata [[babu]] yake, [[Kaizari Maximilian I|Maximilian I]], na kufuatiwa na mdogo wake [[Kaizari Ferdinand I|Ferdinand I]].
 
Kwa jina la Carlos I alikuwa mfalme wa Hispania tangu mwaka 1516.
 
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{Mbegu-Kaizari-Ujerumani}}