Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Angola vs Morocco 2013 AFCON.jpg|thumbnail|Mechi ya kandanda ya [[Angola]] dhidi ya [[Moroko]] mwaka [[2013]].]]
'''Mpira wa miguu''' (pia '''soka''' au '''kandanda''') ni [[mchezo]] unaochezwa na jumla ya wachezaji ishirini na wawili katika [[timu]] mbili, kila timu ikiwa na wachezaji kumi na mmoja.
 
Mstari 124:
 
Hali halisi kuna namna nyingi kucheza soka hata pasipo na wachezaji 22 au uwanja kamili. Kila mahali dunaini watu hasa vijana hucheza barabarani au shambani kwa kila idadi ya wachezaji, ilhali fimbo au mawe mawili hudokeza goli. Pasipo na mpira kamili vijana hujitengenezea kifaa kwa karatasi au plastiki iliyoshikwa kwa kamba katika umbo la kufanana na tufe.
 
 
Kwa mazingira ya pekee kuna pia mapatano juu ya kanuni maalumu kwa timu ndogo (kwa mfano wachezaji 5/5) au mahali kama mchanga wa mwabaoni (''beach soccer''), katika ukumbi (indoor soccer) au kwa wachezaji walemavu.
 
== Timu bora za Mpira wa Miguu AfricaAfrika ==
Nafasi mwanzoni mwa mwaka [[2017]]
 
== Timu za Mpira wa Miguu Africa ==
 
Africa Football / Clubs Ranking
Updated after matches played on 2017
 
Rank
1
Al Ahly