Jibuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:dj-map.png|thumb|290px|left|Ramani ya Jibuti]]
{{Infobox_Country
|native_name = <big>'''جمهورية جيبوتي<br />''Ǧumhūriyyah Ǧībūtī<br />République de Djibouti'''''</big>
Line 57 ⟶ 56:
|footnotes =
}}
'''Jibuti''' (kwa [[Kifaransa]]: '''Djibouti''', kwa [[Kiarabu]]: '''جيبوتي''') ni nchi ndogo ya [[Afrika ya Mashariki]] kwenye [[Pembe la Afrika]].
 
'''Jibuti''' (kwa [[Kifaransa]] '''Djibouti''', kwa [[Kiarabu]]: '''جيبوتي''') ni nchi ndogo ya [[Afrika ya Mashariki]] kwenye [[Pembe la Afrika]].
 
Imepakana na [[Eritrea]], [[Ethiopia]] na [[Somalia]] upande wa bara. Kuna [[pwani]] ya [[Bahari ya Shamu]] na [[Ghuba ya Aden]]. Ng'ambo ya bahari iko nchi ya [[Yemen]] katika [[umbali]] wa [[km]] 20 pekee.
Line 70 ⟶ 68:
 
Nchi ilipata [[uhuru]] tarehe [[27 Juni]] [[1977]].
 
Hadi leo umuhimu na uchumi wake unategemea [[bandari]], ambapo zinapitia [[asilimia]] 95 za [[bidhaa]] zinazoingizwa Ethiopia. Nchi hiyo imeunganishwa na Jibuti [[kwa]] [[reli]], moja ya zamani, na nyingine mpya iliyokamilika mwaka [[2016]].
 
==Watu==
Mstari 77:
 
Upande wa [[dini]], [[Uislamu]] unafuatwa na 94% za wakazi na ndio [[dini rasmi]] pekee. Asilimia 6 wanafuata [[Ukristo]] katika [[madhehebu]] mbalimbali, hasa [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kutoka [[Ethiopia]] (3.2%), halafu [[Wakatoliki]] (1.4%) na [[Waprotestanti]] (chini ya 1%).
[[Picha:dj-map.png|thumb|290px|left|Ramani ya Jibuti]]
 
==Viungo vya nje==
{{Commons|Djibouti}}