Wakfu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Painting of Ste Genevieve in the Church of Ste Genevieve in Ste Genevieve MO.jpg|thumb|250px|[[Mtakatifu Genevieve]] akiwekwa wakfu na [[askofu]]: [[mchoro]] wa [[mwaka]] [[1821]] ([[Ste. Genevieve, Missouri]]).]]
'''Wakfu'''
[[Watu]], [[kitu|vitu]] na [[mahali]] wanaweza kuwekwa wakfu kwa namna mbalimbali.
==Uislamu==
Katika [[Uislamu]] wakfu ni mali iliyotengwa kwa kusudi la kidini. Mifano ya wakfu ni kutoa kiwanja kwa kujenga msikiti, shamba au nyumba ikiwa mapato yake yatagharamia misikiti, madrasa, hospitali, watu maskini au wanafunzi, au pia kutoa pesa kwa makusudi haya. Wakfu
==Ukristo==
Katika [[Ukristo]], watu wanaweza kuwekwa wakfu hasa kwa njia ya [[sakramenti]] zisizoweza kurudiwa kwa sababu zinatia [[alama isiyofutika milele]] (yaani [[ubatizo]], na kwa [[madhehebu]] mengine pia [[kipaimara]] na [[daraja takatifu]]), lakini pia kwa kushika [[maisha]] ya pekee katika [[useja mtakatifu]] (kwa kawaida pamoja na [[ufukara]] na [[utiifu]]).
|